Jokate Mwegelo Instagram – Hii clip nilirekodi na ndugu yangu @coy_mzungu wa @cheka.tu mwaka jana mwishoni nikimpa maua yake kwa namna ambavyo ameongezea thamani tasnia hii ya “comedy”.
Kwasisi vijana wapambanaji wa fursa za maisha, wenye ku-push mpaka jambo liende na kusema hakuna kukata tamaa mpaka kieleweke tukimuamini Mungu wetu tumefurahia mnooo jambo la jana. Mhe Rais @samia_suluhu_hassan ameendela kuonesha kwa vitendo namna anawathamini vijana wa Kitanzania wenye uwezo na vipaji vyao.
Nitumie fursa hii kupongeza wote waliofanikisha tuzo za kwanza za komedi tukiongozwa na Mhe Waziri Palamagamba na team nzima @mwanafa @gersonmsigwa @ommydimpoz @ecejay @basata.tanzania @wizara_sanaatz
Honorary Mention iende ka ndugu yangu @saidsaid._ ila wewe ndio genius wa jana na kweli wakati wa Mungu ndio wakati sahihi, always 💚 | Posted on 23/Feb/2025 14:00:26



