Irene Uwoya

Irene Uwoya Instagram – Jifunze kukataa umaskini … Sema mim ni tajiri …mimi ni bilionea…usikubali kabisa kusema kwa mdogo wako wewe huna kitu au mtu akwambie huwezi kataaa …. Kuna nguvu kubwa sanaaa kwenye neno… kila siku jitamkie mazuri …utajiri…afya…tamkaaa na Sema imekuwa kwa jina la YESU…
Ngoja niwambie Ka story kidogo …mim kipindi Sina gari nilikuwa kila nikipanda gari la mtu namwambia yani gari nalonunua ni kali mno kuliko lako …basi huyo mtu atacheka sanaaa mim namwambia cheka ila mwezi hauishi nakwambia …siku moja nikaenda wanapouza magari nikachagua nikawaambia narudi kuichukua… nikarudi nyumbani nikasali sana nikasema lile gari nanunua mwezi hauwishi kwa jina la YESU… zilipita siku 3 nikapigiwa simu kuwa balozi wa simu moja hivi kwa mwaka mmoja na wakanilipa kwa usd hela nyingi ya kununua gari kama zile 2 … mwezi haukuisha Nipo na gari langu … hapa nataka nikuonyeshe nguvu ya neno… usikubali ata siku moja kusema huwezi au hutoboi au ukajiona hufai…kataaa kwanzia leo …jitamkie maneno mazuri kwako …mtoto wako …family yako… neno Lina nguvu sanaaa…MUNGU wa mbiguni akawape neema na kibali …msipungukiwe kwenye maisha yenu…awape umri mrefu… awape afya na hamtakufa mtaishi kusimulia matendo makuu ya BWANA. 🙏😍 | Posted on 30/Apr/2025 21:51:40

Irene Uwoya
Irene Uwoya

Check out the latest gallery of Irene Uwoya