Ata uwe na mbio vipi huwezi Kimbia shida… Ukiwa na YESU yote yanawezekana Hair @glamourhouse_tz

Jifunze kukataa umaskini … Sema mim ni tajiri …mimi ni bilionea…usikubali kabisa kusema kwa mdogo wako wewe huna kitu au mtu akwambie huwezi kataaa …. Kuna nguvu kubwa sanaaa kwenye neno… kila siku jitamkie mazuri …utajiri…afya…tamkaaa na Sema imekuwa kwa jina la YESU… Ngoja niwambie Ka story kidogo …mim kipindi Sina gari nilikuwa kila nikipanda gari la mtu namwambia yani gari nalonunua ni kali mno kuliko lako …basi huyo mtu atacheka sanaaa mim namwambia cheka ila mwezi hauishi nakwambia …siku moja nikaenda wanapouza magari nikachagua nikawaambia narudi kuichukua… nikarudi nyumbani nikasali sana nikasema lile gari nanunua mwezi hauwishi kwa jina la YESU… zilipita siku 3 nikapigiwa simu kuwa balozi wa simu moja hivi kwa mwaka mmoja na wakanilipa kwa usd hela nyingi ya kununua gari kama zile 2 … mwezi haukuisha Nipo na gari langu … hapa nataka nikuonyeshe nguvu ya neno… usikubali ata siku moja kusema huwezi au hutoboi au ukajiona hufai…kataaa kwanzia leo …jitamkie maneno mazuri kwako …mtoto wako …family yako… neno Lina nguvu sanaaa…MUNGU wa mbiguni akawape neema na kibali …msipungukiwe kwenye maisha yenu…awape umri mrefu… awape afya na hamtakufa mtaishi kusimulia matendo makuu ya BWANA. 🙏😍

Kataaa kushindwa …
Kataaa kushindwa …
I love you tiny
I love you tiny
Asante MUNGU kwa neema na baraka zako … Asante kwajili ya wazazi wangu… Mimi na family yangu tunakupenda sanaaa 🙏🙏🙏❤️
I COSMETICS LIST Whitening lotion 55,000 Brown lotion 55,000 Face cream 45,000 Anti Aging 35,000 Serum 35,000 Resistant cream 35,000 Tunapatika sinza kwa remi stendi no ya simu 0768028888/ 0712444061 WAKALA WA “I COSMETICS” @ireneuwoya8 @icosmeticstz DAR ES SALAAM:- call/whatsup:0784124098 Tazara, Tandika , Tabata, Gongo la mboto , Banana, Mbagala, Kigamboni, Uhasibu, buguruni MBEYA -: call/whatsup:0784124098 MWAMBENE SOKONI DUKA NO-11. call/whatsup:0784124098 Tunafanya delivery dar na mbeya pia
Kiboko yakutoa sugu …Karibu sanaaa @icosmeticstz I COSMETICS LIST Whitening lotion 55,000 Brown lotion 55,000 Face cream 45,000 Anti Aging 35,000 Serum 35,000 Resistant cream 35,000 Tunapatika sinza kwa remi stendi no ya simu 0768028888/ 0712444061 WAKALA WA “I COSMETICS” @ireneuwoya8 @icosmeticstz DAR ES SALAAM:- call/whatsup:0784124098 Tazara, Tandika , Tabata, Gongo la mboto , Banana, Mbagala, Kigamboni, Uhasibu, buguruni MBEYA -: call/whatsup:0784124098 MWAMBENE SOKONI DUKA NO-11. call/whatsup:0784124098 Tunafanya delivery dar na mbeya pia
I COSMETICS LIST Whitening lotion 55,000 Brown lotion 55,000 Face cream 45,000 Anti Aging 35,000 Serum 35,000 Resistant cream 35,000 Tunapatika sinza kwa remi stendi no ya simu 0768028888/ 0712444061 WAKALA WA “I COSMETICS” @ireneuwoya8 @icosmeticstz DAR ES SALAAM:- call/whatsup:0784124098 Tazara, Tandika , Tabata, Gongo la mboto , Banana, Mbagala, Kigamboni, Uhasibu, buguruni MBEYA -: call/whatsup:0784124098 MWAMBENE SOKONI DUKA NO-11. call/whatsup:0784124098 Tunafanya delivery dar na mbeya pia
I COSMETICS LIST Whitening lotion 55,000 Brown lotion 55,000 Face cream 45,000 Anti Aging 35,000 Serum 35,000 Resistant cream 35,000 Tunapatika sinza kwa remi stendi no ya simu 0768028888/ 0712444061 WAKALA WA “I COSMETICS” @ireneuwoya8 @icosmeticstz DAR ES SALAAM:- call/whatsup:0784124098 Tazara, Tandika , Tabata, Gongo la mboto , Banana, Mbagala, Kigamboni, Uhasibu, buguruni MWAMBENE SOKONI DUKA NO-11. call/whatsup:0784124098 Tunafanya delivery dar na mbeya pia