Rose Ndauka

Rose Ndauka Instagram – Kwa wale wanaojua nimezaliwa tarehe ngapi mwezi gani watakuwa wanajua nyota yangu ambayo ni Mizani(Libra),Moja ya tabia za watu walizaliwa huu Mwezi wanapenda sana Haki na hawapendi kuonewa……Wewe nitajie sifa zao nyengine

Na Nitajie kabila gani wanapenda mambo ya kesi,yaani wao kitu kidogo tu Police au Mahakamani….Na usiombe awe na wadhifa kidogo au ana mtu mwenye wadhifa uwiiiiii 🤣🤣🤣🤣 | Posted on 14/May/2025 19:30:16

Rose Ndauka
Rose Ndauka

Check out the latest gallery of Rose Ndauka