Hivi ukiwa police lazima ufoke eheee hata kama mtu hajakosea kufoka ni lazima ehee….?Nauliza tu maana dah nahisi bado tuna au nina mengi ya kujifunza Nitalileta tena hapahapa
Uoga ukizidi unazaa ujinga na ujinga ukizidi unazaa uzuzu,yaani bora ujinga kuliko Uzuzu……Mwenyezi Mungu nisaidie nisiwe mmoja wa Mazuzu
Pumzika salama Dada yangu Kipenzi,umetufingulia njia kwenye tumbo la Mama na sasa umeamua kutuacha tutakukumbuka Daima ….💔💔💔Ummy Chiiiiiiiii
Nawatakie kheri kina Mama wote Duniani,Mwenyezi Mungu atusimamie na kutuongoza vyema tuweze kujenga vizuri Taifa la kesho ❤️❤️❤️#NajivuniakuwaMama
Nawatakie kheri kina Mama wote Duniani,Mwenyezi Mungu atusimamie na kutuongoza vyema tuweze kujenga vizuri Taifa la kesho ❤️❤️❤️#NajivuniakuwaMama
Nawatakie kheri kina Mama wote Duniani,Mwenyezi Mungu atusimamie na kutuongoza vyema tuweze kujenga vizuri Taifa la kesho ❤️❤️❤️#NajivuniakuwaMama
Nawatakie kheri kina Mama wote Duniani,Mwenyezi Mungu atusimamie na kutuongoza vyema tuweze kujenga vizuri Taifa la kesho ❤️❤️❤️#NajivuniakuwaMama
Nawatakie kheri kina Mama wote Duniani,Mwenyezi Mungu atusimamie na kutuongoza vyema tuweze kujenga vizuri Taifa la kesho ❤️❤️❤️#NajivuniakuwaMama
Ukiona naweza kukuface na kukwambia kile unachonikwaza fahamu tu nikwasababu nakupenda la sivyo huwa sipotezi muda wala nguvu za kwa mtu nisiye mpenda,Tuendelee kufatilia Show yetu pendwa Mummy Club @showmaxtanzania
Furaha yangu ni wewe ❤️❤️❤️ @haffiyyjr Changamoto uzazi @mercy_tips @mercy_tips
Tunafanya makosa mengi kwa kujua kwamba hapa tunakosea ila kutokubali kuambiwa ukweli kwamba tunakosea,huo ni udhaifu wa kutokukubali kurekebisha makosa yetu…….
Kwa wale wanaojua nimezaliwa tarehe ngapi mwezi gani watakuwa wanajua nyota yangu ambayo ni Mizani(Libra),Moja ya tabia za watu walizaliwa huu Mwezi wanapenda sana Haki na hawapendi kuonewa……Wewe nitajie sifa zao nyengine Na Nitajie kabila gani wanapenda mambo ya kesi,yaani wao kitu kidogo tu Police au Mahakamani….Na usiombe awe na wadhifa kidogo au ana mtu mwenye wadhifa uwiiiiii 🤣🤣🤣🤣
Kuna maisha pembeni ya camera on and action,Usitamani maisha ya mtandaoni 👯♀️….. Haya twenzetu @showmaxtanzania ambavyo huwezi kuviona kawaida 🔥
@gladness_kifaluka 😁 sasa kwa nini hutaki dunia imuone umpendae? 😎 Ila @iamrosendauka na wewe mpana 🤣 Stream episode 4 ya #themommyclubtz on #showmax
Niambie Copy na ku paste gafla maisha yamekuwa mepesi 🤣🤣🤣🤣,Kama bado hujaangalia Mummy club ebu ingia @showmaxtanzania kuburudika……Mi nachokaaaaa 🤣
💔💔💔💔
Sssshh let them talk 🗣️#RapperMama @showmaxtanzania
💝💝💝💝💝
😂 comment mwenyewe kama umeona 🙈 Stream Episode 7 ya #themommyclubtz on Showmax KESHO. #showmaxoriginal #themommyclub #showmaxonline
Katika kusherekea Mother’s Day, msikilize Rose vile Baba mjengo wake ana mpamper 🥰❤️🎉 Stream Episode ya 3 ya #themommyclubtz on Showmax. #themommyclub #showmaxoriginal
Tunapenda kuwajulisha kuwa kampuni yetu inatoa huduma bora za ushauri, uchukuaji kazi, na urejeshaji kazi kwa wakati. Tunahakikisha kila kazi inafanyiwa marekebisho kwa ufanisi, na ubora wa hali ya juu. Amini katika huduma zetu – kazi yako iko mikononi salama! Asante kwa kuendelea kutuamini. Tupo Dar es Salaam na Kwa kanda ya ziwa tupo Mwanza – Red Cross, mkabala na Shule ya Msingi Nyanza. @hrdradiatorcompany @hrdradiatorcompany Wasiliana nasi leo: 📞 255 744 451 271 | 255 716 995 561 Tunarekebisha, tunasafisha, tunaunda upya – kwa ubora wa hali ya juu! ⸻ Hashtags: #HRDRadiator #RadiatorSpecialists #IntercoolerRepair #OilcoolerServices #DPFilterRepair #HeatExchangerRepair #TankCleaning #Mwanza #DarEsSalaam #TanzaniaAutoCare #HeavyDutyCooling #RadiatorExperts
Admissions Open Now! Step into a future of success and opportunity! We are now accepting applications for the [2025–2026] academic year. Whether you’re dreaming big, starting fresh, or aiming higher—we’re here to help you achieve it. Limited seats available. Apply today! What we Offer: Cambridge Curriculum Quran, Arabic & Islamic Studies Extra Curriculum ( Sports and Vocation skills Club) … and more! Why Choose Us? Experienced Faculty State-of-the-Art Facilities 100% Placement Support Holistic Learning Environment #AdmissionsOpen #ApplyNow #FutureStartsHere #EducationMatters
Fundi kama Fundi karibuni mpate huduma ya uhakika @hrdradiatorcompany @hrdradiatorcompany