Wema Sepetu

Wema Sepetu Instagram – Daraja la JP Magufuli lilioko Busisi linaenda kufunguliwa Leo… Mgeni Rasmi akiwa Tanzanite Lady Her Excellency Dr Samia Suluhu Hassan…

Daraja hili linaenda kuwa Fursa kwa Wanawake, Vijana na wafanya Biashara… Ni Daraja kubwa lenye urefu wa 3km… Linaenda kurahisisha kila kitu…

Tunafanya nn…? Tunatick…!!! Octoba Tunatick…✅✅✅ | Posted on 19/Jun/2025 12:24:18

Wema Sepetu
Wema Sepetu

Check out the latest gallery of Wema Sepetu