Daraja la JP Magufuli lilioko Busisi linaenda kufunguliwa Leo… Mgeni Rasmi akiwa Tanzanite Lady Her Excellency Dr Samia Suluhu Hassan… Daraja hili linaenda kuwa Fursa kwa Wanawake, Vijana na wafanya Biashara… Ni Daraja kubwa lenye urefu wa 3km… Linaenda kurahisisha kila kitu… Tunafanya nn…? Tunatick…!!! Octoba Tunatick…✅✅✅
✨ Daraja la JP Magufuli ✨ @wema_wa_mama
✨ Daraja la JP Magufuli ✨ @wema_wa_mama
✨ Daraja la JP Magufuli ✨ @wema_wa_mama
✨ Daraja la JP Magufuli ✨ @wema_wa_mama
✨ Daraja la JP Magufuli ✨ @wema_wa_mama
✨ Daraja la JP Magufuli ✨ @wema_wa_mama
✨ Daraja la JP Magufuli ✨ @wema_wa_mama
✨ Daraja la JP Magufuli ✨ @wema_wa_mama
✨ Daraja la JP Magufuli ✨ @wema_wa_mama
✨ Daraja la JP Magufuli ✨ @wema_wa_mama
✨ Daraja la JP Magufuli ✨ @wema_wa_mama
✨ Daraja la JP Magufuli ✨ @wema_wa_mama
✨ Daraja la JP Magufuli ✨ @wema_wa_mama
✨ Daraja la JP Magufuli ✨ @wema_wa_mama
✨ Daraja la JP Magufuli ✨ @wema_wa_mama
✨ Daraja la JP Magufuli ✨ @wema_wa_mama
✨ Daraja la JP Magufuli ✨ @wema_wa_mama
Miradi iliotekelezwa kwa juhudi kubwa na inayonufaisha wananchi moja kwa moja tunaiona kwa macho… ndo maana tunasema, “Sio kwa maneno bali kwa vitendo…. Kazi Iendelee maana Mwenye macho haambiwi tazama… Kuna kitu nitawaonesha kesho mapema… Kuna muda inabidi tukubali matokeo… Sio muandame kwa kushikiwa maskio, Na sisi itabidi tuandamane kwa ajili ya kupinga uongo usio na manufaa…. Wema wa Mama unazidi kuonekana Dhahir… 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Kazi na UTU, Tunasonga mbele… Wema wa Mama unaonekana Sio kwa maneno bali kwa vitendo… Nyie Leteni maneno, Sisi tunaonesha vitendo… Tulale sasa… Maana siku ya Kesho ni ndefu mnoooooo…. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Kazi na UTU, Tunasonga mbele… Wema wa Mama unaonekana Sio kwa maneno bali kwa vitendo… Nyie Leteni maneno, Sisi tunaonesha vitendo… Tulale sasa… Maana siku ya Kesho ni ndefu mnoooooo…. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Kazi na UTU, Tunasonga mbele… Wema wa Mama unaonekana Sio kwa maneno bali kwa vitendo… Nyie Leteni maneno, Sisi tunaonesha vitendo… Tulale sasa… Maana siku ya Kesho ni ndefu mnoooooo…. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Kazi na UTU, Tunasonga mbele… Wema wa Mama unaonekana Sio kwa maneno bali kwa vitendo… Nyie Leteni maneno, Sisi tunaonesha vitendo… Tulale sasa… Maana siku ya Kesho ni ndefu mnoooooo…. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mnaposema maneno yaendane na Vielelezo pia…. Na ndo maana tunaposema Wema wa Mama kuwa sio kwa maneno bali kawa Vitendo, Tunaleta na Vielelezo ambavyo ndo hivi mnavyoona ndugu zangu…. Taifa hujengwa na Kiongozi Bora mwenye kujali mahitaji ya wananchi wake… Idara ya Maji chini ya Mh Waziri wa Maji @jumaa_aweso Haina mpinzani… Hongera sana Rais wetu tunaona kazi yako… Mungu aendelee kukupa afya njema na nguvu tuzidi kuuona Wema wako Tukiwa katika Mkoa wa Simiyu, hatuwezi kujadili maendeleo bila kutaja kwa fahari Mradi Mkubwa wa Maji kutoka Ziwa Victoria hadi Simiyu — ni mojawapo ya maono makubwa yaliyotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mradi huu, unaoendeshwa na Wizara ya Maji, uliigawanywa katika awamu mbili. Awamu ya kwanza inalenga kupeleka maji ya bomba kwa wakazi wa Bariadi, Busega, Itilima, na maeneo jirani, ikiwalenga zaidi ya watanzania 500,000–700,000 ndani ya mkoa huu . Chini ya mradi huu: Kuna kiwanda cha kusafisha maji cha mita³ 19,000 kwa siku kutoka Ziwa Victoria—kitaanza kutoka awamu hii ya kwanza . Pia kutakuwa na mabomba yenye urefu wa takriban 135 km yanayofunika maeneo kuu ndani ya maeneo yenye wakazi wengi Awamu ya pili itapanua huduma hadi Mwanhuzi na Maswa, ikiwafikia wakazi wa vijijini ndani ya zaidi ya 24 km za bwawa la mainline . Tunamshukuru sana Mheshimiwa Jumaa Aweso, Waziri wa Maji, kwa kusimamia utekelezaji wa mradi huu wa kihistoria, ambao umeleta pumziko la kweli kutoka kwa changamoto ya uhaba wa maji. Kupitia kampeni ya Wema wa Mama, tumefika Simiyu kuona na kusikia wenyewe kutoka kwa wananchi—mtazamo wao unathibitisha kwamba hii ni serikali inayotekeleza siyo ahadi tu.” Kesho jiwe la Msingi linaenda kuwekwa na Rais wetu katika moja ya Miradi mikubwa sana ya Maji, Simiyu/Bariadi… Sitochoka kuutangaza Wema wako Mama… Unastahili Pongezi… Tanzanite Lady, You are a Leader & a Half… Asante Dada yangu @eng_mwajuma.waziri9 kwa kutupa vizuri maelezo ya Mradi huu…. Mwenye macho haambiwi tazama ndugu zangu… Na shukran sana Mheshimiwa Mbunge Simon Songe Lusengekile kwa kutupa ushirikiano mkubwa… Cc @wizarayamajitz @jumaa_aweso