Wema Sepetu

Wema Sepetu Instagram – Miradi iliotekelezwa kwa juhudi kubwa na inayonufaisha wananchi moja kwa moja tunaiona kwa macho… ndo maana tunasema, “Sio kwa maneno bali kwa vitendo…. Kazi Iendelee maana Mwenye macho haambiwi tazama…

Kuna kitu nitawaonesha kesho mapema… Kuna muda inabidi tukubali matokeo… Sio muandame kwa kushikiwa maskio, Na sisi itabidi tuandamane kwa ajili ya kupinga uongo usio na manufaa….

Wema wa Mama unazidi kuonekana Dhahir… 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 | Posted on 18/Jun/2025 00:12:04

Wema Sepetu

Check out the latest gallery of Wema Sepetu