Happy 35th Wema Wa Mama… And this Year My Birthday Picture is Inspired By “Her Excellency, The Tanzanite Lady Herself, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Yetu Kipenzi, Namba Moja wetu, Dr. Samia Suluhu Hassan…” Na Oktoba Tunatiki… ✅✅✅ Namna Hio…🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Im turning 35 this Sunday…🤗🤗🤗
Chapter 35🤗
Haiya sasa nikacheze mziki mpaka kucheee….😜😜😜 Sipost tena… Na muache mabishano…
I rise & I glow🥰
Inna lillahy wa innah illahy rajiuun 🤲🏼🤲🏼🤲🏼
Ndo leo sasa ndo kwaaaanza nagonga hodi 35… Aaaaaaaiiii WS nazeeka mie…!!!!🥰🥰🥰 And it feels good… i wanna have a good time…. Nawaletea Official Picture ya Bday yangu hivi PUNDE…😜😜😜
Bariadi wanakwambia “Samia Waaa” na “Oktoba wanatiki” …. WanaBariadi wanakusubiria kwa Hamu….
Picture of The Day… ✅✅✅
Mama watu wa Kahama wanakwambia Oktoba tar 29 ushapita… Asubuhi na mapema… Nimepita mtaa kwa mtaa… Stand kwa masoko kuhakikisha kwanza wamejiandikisha kwenye daftari la kupiga kura na watapiga kura…. Za Ndio zote ni za Kwako…. ✅✅✅ @wema_wa_mama @petitman_wakuache
Shy Town Shy Town…. Ulinzi na Usalama tupo vizuri kabisa…. Karibu Mama umwage Sera zako na uinadi vilivyo Ilani ya Chama… Mitano ni ya kwako kwa Mara nyingine Tena… Haina Ubishi…!!! ✅✅✅ cc @comrade_kawaida @uvccm_tz @petitman_wakuache @wema_wa_mama
Hodi Hodi Mwanza…!!!
Nyiiieee Nyiiiieeee Chato pamechangamka jamani…. Na wanasema wako tayari kwenda bega kwa Bega na Mama kwenye safari yake ya Awamu ya pili…. Naulizaaaajeeee? nani kama Mama Samia…??? hakuna Bwana…. @petitman_wakuache @wema_wa_mama
Karibu Mtwara mjini Mama… Umewafanyia mema wana Mtwara na wanasema wanakujibu kwa Tick Oktoba… ✅✅✅ @petitman_wakuache @wema_wa_mama
Nishakufagilia njia Mama… Nenda kapige maneno yako…. Nani kama Mama Samia…. Tupo na wewe Mama…. Wana Mtama wanasema Oktoba ni Lazima Iwe Wewe… Wanakupa TIKI za Kumwaga…. ✅✅✅✅ @petitman_wakuache @wema_wa_mama @napennauye
Mama Kashamaliza jamani… Itoshe kusema, “Mnyonge mnyongeni, Haki yake mpeni…” Na Haki yake ni Kumpa kura zote za Ndio ifikapo Oktoba 29…. Tunatiki kwa Nguvu nyingi sana… @wema_wa_mama @petitman_wakuache @kassim_m_majaliwa
Karibu tena weekend hii Tuangalie yaliyomo @helabettz
Njia Panda ya Chato Hiiooooo…. Na ndo tunaelekea Chato kwenyewe…. Nyumbani kabisa kwa Hayati Dkt John Pombe Magufuli… Mtanzania alieacha alama isiyofutika…. Na wana Chato wanasema Oktoba Wanatiki ✅✅✅ @wema_wa_mama @petitman_wakuache
Na weekend hii tupo hapa @helabettz kutafuta mkwanja kama kawa
Ruangwa Tushamaliza…✅✅✅✅
International game zote zinapatikana kazi kwako @helabettz
Tanzanite Lady Herself… @petitman_wakuache @wema_wa_mama
Sio Maneno yangu ni ya Wana Bariadi jamani…. @petitman_wakuache @wema_wa_mama
Maneno sio Yangu haya ni ya Wananchi wa Geita/Katoro…. Wanasema Mama kaupiga mwingi na kuna Mengi wamenufaika alafu pia “Oktoba wanatiki zao… ✅✅✅ 😜😜😜 @petitman_wakuache @wema_wa_mama