Leo nilipokuwa sehemu moja Mwanza nikakutana na Kijana anachora sana… So akaniambia anipige picha then atanichora hivyo hivyo… Picha yenyewe ndo hii ngoja tuone matokeo sijui ataweza…??? 🤔🤔🤔
Happy Independence Tanzania…. Rais Wangu, Mama yangu… Kale kanyimbo ka baba yetu Clemence kamenikaa kwa kichwa… 😂😂😂😂😂 Nachoka mimi Nachoka, Mwandambo Nachoka….
Dressed by @naidy_fashion
Ni wakati wa Mama kuanza kuwatumikia wananchi wake… Tutanufaika vp na Mema aliotuandalia sisi kama wananchi tuliomchagua kwa Moyo mmoja kama hatutompa nafasi… Ebu tutulieni na tumpe ushirikiano pia katika kujenga taifa… Kidole kimoja hakivunji chawa… Umoja ni Nguvu… Na ndo tunayohitaji… Mengine tunamuachia Mungu… 🤲🏼🤲🏼🤲🏼 Narudia tena, Hakuna haja ya Kuvuruga nchi… Hamsikii… Haiya… Ila tu nasikitika kuona watanzania wanakuwa Misled… Hili nalo litapita kama yalivyopita mengine…. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 🤦🏼♀️🤦🏼♀️🤦🏼♀️ But this is just sad… Siwezi kuacha kusimamia na kutetea kile nachoamini sababu ya maneno ya watu… Kila mtu ana haki ya kufanya hivyo… Maneno yenu hayaniuwi, yananikomaza maana Hamjaanza leo, juzi wala jana… And nothing has changed… Naendelea kuwa Sugu… Hakuna jipya ila kwenye ukweli tuambizane tu ukweli… Whats done is done… Tungetulia tusubirie na tuone matendo na Kazi inayoenda kufanyika… “Wema wa mama” nitaendelea kuwa hapa kuwaleteeni “sio Kwa maneno, bali kwa vitendo” Mema ya Mama yetu… Namba moja wetu… Amri Jeshi mkuu… Si mnakumbuka miradi ni mingi ambayo haijakamilika na mengine mengi yanayotakiwa yafanyike… Tukaeni kwa Kutulia… Nchi ya Amani hii, Fujo za nini…??? 🤷🏼♀️🤷🏼♀️🤷🏼♀️
Wema Wa Mama… Usiku mwema wapendwa wa moyo wangu…. Kesho pia ni siku… 💚💚💚💚💚 Kazi na UTU, Tunasonga Mbele…
Wema Wa Mama… Usiku mwema wapendwa wa moyo wangu…. Kesho pia ni siku… 💚💚💚💚💚 Kazi na UTU, Tunasonga Mbele…
Wema Wa Mama… Usiku mwema wapendwa wa moyo wangu…. Kesho pia ni siku… 💚💚💚💚💚 Kazi na UTU, Tunasonga Mbele…
Team nzima Wema wa Mama tulipofika kwenye Mradi mkubwa sana wa Maji hapa Simiyu… @wema_wa_mama
Team nzima Wema wa Mama tulipofika kwenye Mradi mkubwa sana wa Maji hapa Simiyu… @wema_wa_mama
Team nzima Wema wa Mama tulipofika kwenye Mradi mkubwa sana wa Maji hapa Simiyu… @wema_wa_mama
Kuna vitu ukishuhudia basi vinakusisimua tu… Huyu mtoto kutoka Simiyu ana umri wa Miaka 7 tu na yupo darasa la 3 ana kipaji maana kamtungia nyimbo maalum Rais Dr Samia Suluhu Hassan akimsifu kwa kazi yake nzuri… Apewe maua yako Binti huyu… Nimempenda sana … cc @wema_wa_mama
Kazi na UTU… Amiri Jeshi Mkuu akiwa Kazini… SSH…
Kazi na UTU… Amiri Jeshi Mkuu akiwa Kazini… SSH…
Kazi na UTU… Amiri Jeshi Mkuu akiwa Kazini… SSH…
Kazi na UTU… Amiri Jeshi Mkuu akiwa Kazini… SSH…
Mapema sana kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo na Kilele cha Kongamano la Wafugaji 2025, Bariadi – Simiyu ambapo Mgeni Rasmi ni Tanzanite Lady Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan … cc @petitman_wakuache @wema_wa_mama @big_xhexhe
Wananchi wenyewe wanasema kwa kujidai… Uzuri wetu sisi Team ya Wema wa Mama tunaingia mpaka ndani kabisa kwa Wananchi… Katika Idara ya Maji, Itoshe kusema Mh @jumaa_aweso Ameupiga mwingi sana… Tukubali Tukatae… Wema wa Mama bado unaonekana sio kwa Maneno bali kwa Vitendo… Asante Mama… 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 @wema_wa_mama @petitman_wakuache
Alafu bado kuna watu wanasema nini nini nini huko…???? Ebu watuachie Mama yetu…. Oktoba Tunatiki…. ✅✅✅✅✅✅ @wema_wa_mama @petitman_wakuache
Endelea kutengeneza nafasi ya kujishindia zawadi za chrismas kupitia https://helabet-christmas.com
Karibu tena kwenye viunga vyetu vya @helabettz ni Monday night football
One more time for The Tanzanite Lady💚💚💚
Kwani Wananchi wa Iringa wana Nini cha Kusema….??? Leo nimekutana na Watu wa Iringa Mjini na wanamsubiria Mama kwa Hamu sana Kesho…. Mama Anakubalika kila Corner bwana… No Cap…!!! Nimepata fursa ya kuzunguka na kukutana na watu na walikuwa na mengi mazuri kusema kuhusu Mgombea wetu… 💚💚💚💚 OktobaTunaTiki✅✅✅✅✅✅ @wema_wa_mama @petitman_wakuache #KaziNaUTUTunasongaMbele#OktobaTunatiki