Wema Sepetu

Wema Sepetu Instagram – Kwani Wananchi wa Iringa wana Nini cha Kusema….??? Leo nimekutana na Watu wa Iringa Mjini na wanamsubiria Mama kwa Hamu sana Kesho…. Mama Anakubalika kila Corner bwana… No Cap…!!! Nimepata fursa ya kuzunguka na kukutana na watu na walikuwa na mengi mazuri kusema kuhusu Mgombea wetu… 💚💚💚💚

OktobaTunaTiki✅✅✅✅✅✅

@wema_wa_mama @petitman_wakuache

#KaziNaUTUTunasongaMbele#OktobaTunatiki | Posted on 06/Sep/2025 23:33:30

Wema Sepetu
Wema Sepetu

Check out the latest gallery of Wema Sepetu