Viwanja vya Nane Nane Ipuri Kesho kunaandikwa Historia…. The Tanzanite Lady atakuwa akiunguruma kwa Kunadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi…. Usiku Mwema… Tukutane Kesho uwanjani…. CCM Oyeeeee…. 💚💚💚💚💚
Kigoma Tupo Hapa…. Hivi mnajua Wakazi wa Kigoma wanavyompenda Mama Nyie…… Aaaaaaah hamjui bwana…. Subirini post yangu ya pili muone watu wa Kigoma walivyo na Mahaba kwa Mgombea wao…. Oktoba tunatiki…. Mchana kweupeeeee ✅✅✅✅✅ @wema_wa_mama @petitman_wakuache
OKTOBA TUNATIKI….!!!!✅✅✅✅✅✅✅
Watu wa Nzega wapo tayari kabisa kumskiliza Mama akiinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi…. Wenyewe wanakwambia Oktoba Wanatiki✅✅✅✅✅
Tiki ni Kwa Mama Tu… Na wala hatuna Wasiwasi…. Tunajionea kwa Macho yetu kabisa jinsi gani Wanavyompenda…. Kwahio Tiki ni Lazima Oktoba 29… @petitman_wakuache @wema_wa_mama
Mpaka kieleweke…. ✅✅✅✅ Oktoba Ni Kutiki tu….
Itoshe kusema…!!! Kama hatutampa Mama Kura zetu tutampa nani tena…. Watu wa Singida wanasema Oktoba wanatiki… ✅✅✅ @wema_wa_mama @petitman_wakuache
True Definition of “Kazi na UTU Tunasonga Mbele”…
Alafu kwa maendeleo haya yanayoonekana kabisa bado kuna “Sambadeee Samweeeaaaa” anasema Mama hafai…. Nyie mna utani nyie….. Ebu tupige vigelegele kwa Mama Samia…. One more Time For Mama…. Oktoba Tunatiki✅✅✅✅✅ @wema_wa_mama @petitman_wakuache
Ng’ara Mama Yetu Ng’ara….✨✨✨ Tupo Singida sasa na Mgombea wetu akiinadi Ilani ya Chama…. Oktoba Tunatiki ✅✅✅✅✅
Tanzanite Lady Herself…. Our Pride…. Oktoba Tunatiki ✅✅✅✅✅
Alipo Mama tupo nae… Oktoba Tunatiki ✅✅✅✅✅
Alafu bado mnasema nn…??? Aaaaah bwana… Itoshe Kusema Oktoba tunatiki✅✅✅✅✅
Gnyt💚💚💚
Wenyewe wanasema Oktoba wanatiki na WaRundikaaaaa…. Kuna nini Tena hapo….??? 🥰🥰🥰🥰 @wema_wa_mama @petitman_wakuache
Dr Samia ni Wetu sote, Tunatamba Nae…. 💚💚💚 Leo saa Kumi na moja Jioni Kupitia Mitandao yote ya Chama….