My second facial from @zuuu_collection #rangimojamwilimzima #0653488965 sinza
Number Moja wetu… Allah akubarik na akupe nguvu na ujasiri… 🤲🏼🤲🏼🤲🏼 ALLAH HUMMA AMEEN YARAB🤲🏼🤲🏼🤲🏼 Mama Yangu Mama…💚💚💚 Mama Samia Mama 💚💚💚
Tumemaliza kufunga Campaign Rasmi Hapa Mwanza CCM Kirumba… Tunajiandaa kwa kesho sasa Tukatiki ✅✅✅ What a Journey… Na kesho ikawe kheri… @petitman_wakuache @wema_wa_mama @big_xhexhe
King’ora Tu Mbio…. Ndo mseme kuna waandamanaji hapa…. Ukitaka kunitukana Swipe ndo ushushe matusi yako… Ila Oktoba 29 Tunatoka vizuri na Tunatiki Kwa Amani Zote….✅✅✅✅ @petitman_wakuache @wema_wa_mama
King’ora Tu Mbio…. Ndo mseme kuna waandamanaji hapa…. Ukitaka kunitukana Swipe ndo ushushe matusi yako… Ila Oktoba 29 Tunatoka vizuri na Tunatiki Kwa Amani Zote….✅✅✅✅ @petitman_wakuache @wema_wa_mama
MWANZA…!!! @petitman_wakuache @wema_wa_mama
Nimefurahi sana leo nilipojumuika na Wananchi wa Bukoba mjini, tukapata chakula cha mchana pamoja nilichowapikia mwenyewe…. Na pia tukapeana na Elimu kidogo ya kupiga kura… Ili siku ikifika tusifanye makosa kabisa… Na Tumekubaliana Oktoba 29th Tunatiki ✅✅✅ @petitman_wakuache @wema_wa_mama @ccmtanzania
Hatuelewi cha Maandamano CCM… Tunajua kupiga Kura tu siku hio… Acheni kutisha watu bila sababu za Msingi nia ya kuwatoa kwenye Reli…. Watu wanatiki na habari za kutishana hawana… ✅✅✅ @petitman_wakuache @wema_wa_mama
TANZANIA ONE…!!! Number One Superstar in Tanzania…. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania… Tanzanite Lady…. Aaaaah Oktoba 29 ni Siku yako Mama…. ✅✅✅
Masaa yamebaki machache sana… Tukafunge huu mjadala na Tumpe Kura zetu… Mama anastahili… ✅✅✅ @petitman_wakuache @wema_wa_mama
Ladies & gentlemens Tunaendelea tulipoishia Mchongo wote upo @helabettz
Kazi na UTU… Tunasonga Mbele… ✅✅✅
Kazi na UTU… Tunasonga Mbele… ✅✅✅
Kazi na UTU… Tunasonga Mbele… ✅✅✅
Kazi ipo leo english premier league na hela kama zote @helabettz
Tumia background music kujiunga na challenge ya helabet ya giveaway challenge kwa tiktok tuu
Dares Salaam… Oktoba Tunatiki ✅✅✅
Leo dili zipo el classico Twende fastaaaaaa @helabet.tz
And Finally tumefika Nyumbani kwa Hayati Dkt John Pombe Magufuli… The Blessed Land…. Na Chato pia Wanatiki ✅✅✅✅ @petitman_wakuache @big_xhexhe @wema_wa_mama
Elimu ya kupiga kura washaielewa Wananchi… Tunasubiria Kutiki tu…
Itoshe Kusema Kagera/Muleba huwaambii kitu kwa Mama… Wameyaona kwa Vitendo kabisa Mema aliowafanyia…. Si wakulima, Si wafanyabiashara, Wakina Mama, Watoto…. Aisee Kazi yangu imekuwa Rahisi Mnoooo…. Oktoba Wanatiki…. @wema_wa_mama @petitman_wakuache @big_xhexhe
TUNATIKI Mapema kabisa✅✅✅✅✅
🎁 Record a video with our sound — win an electric scooter, bike, or headphones! Your luck is waiting! 🎲 We’re launching a TikTok contest: 1 video with our sound = a chance to win a prize! ⚡ How to participate: 1. Go to TikTok and find our pinned video. 2. Shoot a short video (any format — emotion, luck, reaction, creativity, dance) 3. Add the hashtag #helazone 4. Follow our TikTok account 5. Done! You’re in the game 💥 👉 link in bio Don’t wait for luck. Be it ❤️