Wema Sepetu

Wema Sepetu Instagram – Nimefurahi sana leo nilipojumuika na Wananchi wa Bukoba mjini, tukapata chakula cha mchana pamoja nilichowapikia mwenyewe…. Na pia tukapeana na Elimu kidogo ya kupiga kura… Ili siku ikifika tusifanye makosa kabisa… Na Tumekubaliana Oktoba 29th Tunatiki āœ…āœ…āœ…

@petitman_wakuache @wema_wa_mama @ccmtanzania | Posted on 16/Oct/2025 19:08:12

Wema Sepetu
Wema Sepetu

Check out the latest gallery of Wema Sepetu