Tumemaliza salama kabisa Mkutano Mkuu…. Nadhani Mama ameongea na Kasikika… Tukaitangaze sasa Ilani vizuri… 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 @wema_wa_mama @petitman_wakuache cc my brother Berto @albertomsando
Dodoma By Day… Day 1 done… cc @petitman_wakuache @wema_wa_mama
Day 2 Mkutano mkuu wa Chama…
Day 2 Mkutano mkuu wa Chama…
Day 2 Mkutano mkuu wa Chama…
Day 2 Mkutano mkuu wa Chama…
I never try too hard, I do it effortlessly… And thats how it works… Take Notes…😘😘😘 Due to kuwa Dodoma sababu ya Mkutano Mkuu, Nikamiss Harusi ya Taifa… Ila nikasema kwanini basi hata nguo yangu nisiivae na kupiga picha nilivyorudi tu… Elisha Red Label for The Win… @theeredlabel_ But Elisha, where did you take my waist…??? 🤔🤔🤔 Tulale na hii kwanza
I never try too hard, I do it effortlessly… And thats how it works… Take Notes…😘😘😘 Due to kuwa Dodoma sababu ya Mkutano Mkuu, Nikamiss Harusi ya Taifa… Ila nikasema kwanini basi hata nguo yangu nisiivae na kupiga picha nilivyorudi tu… Elisha Red Label for The Win… @theeredlabel_ But Elisha, where did you take my waist…??? 🤔🤔🤔 Tulale na hii kwanza
I never try too hard, I do it effortlessly… And thats how it works… Take Notes…😘😘😘 Due to kuwa Dodoma sababu ya Mkutano Mkuu, Nikamiss Harusi ya Taifa… Ila nikasema kwanini basi hata nguo yangu nisiivae na kupiga picha nilivyorudi tu… Elisha Red Label for The Win… @theeredlabel_ But Elisha, where did you take my waist…??? 🤔🤔🤔 Tulale na hii kwanza
Leo tukiwa Dodoma, Team nzima ya Wema wa Mama ilipata nafasi ya kwenda kumtembelea Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso… Ilani ya Chama imetekelezwa vilivyo kwenye Idara ya Maji… Hongera sana kaka angu, Kazi inafanyika haswa… Hata tukiwa kwenye ziara zetu wananchi wanasema kwa Sauti kubwa kuwa Maji sio tabu tena… cc @jumaa_aweso @jumaa_aweso
Wema wa Mama Samia Suluhu Hassan unazidi kuonaekana… Sio kwa Maneno, Bali kwa vitendo… Wema wa Mama – KILWA: Safari ya Maendeleo Inaendelea! Ninaendelea kushuhudia makubwa ambayo Mama Samia ameweka kwa ajili ya Watanzania… Leo niko Kilwa! Katika muendelezo wa #WemaWaMama, nimeshuhudia moja ya bandari kubwa na za kisasa za uvuvi barani Afrika – Bandari ya Uvuvi ya Kilwa. Hapa, kila kitu kinafanyika: Uvuvi, uchakataji, viwanda vya samaki, cold rooms za kisasa – kila hatua inaleta ajira, uchumi na matumaini kwa wananchi. Bandari hii si tu mradi – ni fursa kwa wakazi wa Kilwa, Lindi, na Watanzania wote kuwekeza kwenye uchumi wa buluu (blue economy) na kukuza biashara ya samaki kitaifa na kimataifa. Kilwa, mji wa kihistoria na tamaduni tajiri za Wamachinga, Wamatumbi na Wangindo, sasa ni kitovu cha mabadiliko ya kweli. Full story inakuja hivi karibuni kwenye YouTube! Safari yangu bado inaendelea… usikose kuona kwa macho yako! #WemaWaMama #Kilwa #BandariYaUvuvi #SamiaSuluhuHassan #BlueEconomy #KampeniYaWema #MabadilikoYaKweli #Uvuvi #Viwanda #FursaZaUwekezaji #Lindi #Tanzania #UpendoWaMamaNguvuYaJamii #ComingSoonOnYouTube
EnRoute Dar-es-Salaam… Thank you Dodoma… 🥰🥰🥰
Www.helabet.co.tz
✨Well Deserved✨ Kazi na UTU, Tunasonga mbele…
“Kama ladha nzuri inavyojumuisha radha ya ukweli, ndivyo Nari Tomato Paste inavyomvutia kila anayeijaribu! Na sasa, ladha hii ya kipekee imepata balozi wake — Wema Sepetu, Tanzania’s Sweetheart. Ni Nari Tomato Paste, bidhaa mpya sokoni inayovutia kwa ubora wake, iliyojaa ladha asili na yenye nguvu ya kipekee. Na kama Wema Sepetu anavyojua kuwa ubora unajitokeza, Nari Tomato Paste ni chaguo sahihi kwa kila nyumba inayohitaji ladha bora na afya njema. Katika maisha yake, Wema amekua kielelezo cha mafanikio na ladha nzuri, na sasa anawakilisha ladha hiyo nzuri zaidi kupitia Nari Tomato Paste. Alisema, “Ladha hii inagusa moyo na inajivunia ubora.” Hivyo ndivyo alivyosema mrembo huyu ambaye sasa anakuja kuleta ladha kwa taifa! Kwa Wema, ladha ni zaidi ya chakula; ni sanaa, ni furaha, ni maisha. Kama unapenda ladha isiyopitwa na wakati, isiyo na kemikali, yenye ladha halisi ya nyanya, basi Nari Tomato Paste ni yako! Inatoa ladha bora kwa kila mlo, ikichangia si tu katika chakula chako, bali pia katika furaha ya familia yako. **Usikose ladha ya Wema, usikose ladha ya Nari Tomato Paste—Bora, Ladha, Wema. #NariTomatoPaste #WemaSepetu #LadhaBora #TanzaniaSweetheart #LadhaYaWema #UboraUnaoonekana #TasteTheNariMagic” @@naritomatoes @narita.nari_
Tukiwa na Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso… @jumaa_aweso Cc @petitman_wakuache
Tukiwa na Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso… @jumaa_aweso Cc @petitman_wakuache
NANYUMBU ✨ – MAJI NI MAISHA 💧🇹🇿 Nikiwa Nanyumbu, nilishuhudia muujiza wa kweli… Mtambo mkubwa wa maji – wa kipekee kwa ukanda huu wote – sasa unahudumia maelfu ya wananchi wa Nanyumbu na maeneo jirani. Maji sio changamoto tena! 🙌🏽 Mama ametenda. Kwa moyo, kwa vitendo. Na kwa hakika, huu ni ushahidi kuwa #MaendeleoNiVitendo. 💚 Nawapongeza sana Wizara ya Maji chini ya Mheshimiwa Waziri Jumaa Aweso, kwa kazi kubwa na ya kipekee. Pia pongezi kwa uongozi wa Mkoa wa Mtwara na Wilaya ya Nanyumbu kwa usimamizi thabiti na utekelezaji wa kweli wa ilani ya mama yetu mpendwa, Rais Samia Suluhu Hassan. 🌍💦 cc @jumaa_aweso Nimeguswa. Nimefarijika. Na nimeondoka na moyo wenye matumaini zaidi kwa taifa letu. FULL EPISODE ya Nanyumbu inakuja YouTube hivi karibuni. Shuhudia simulizi ya maendeleo kupitia sauti za wananchi na moyo wa Mama. #WemaWaMama #SamiaSuluhu #NguvuYaJamii #MajiNiUhai #Nanyumbu #TanzaniaInajengwa