Wema Sepetu

Wema Sepetu Instagram – Leo tukiwa Dodoma, Team nzima ya Wema wa Mama ilipata nafasi ya kwenda kumtembelea Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso… Ilani ya Chama imetekelezwa vilivyo kwenye Idara ya Maji… Hongera sana kaka angu, Kazi inafanyika haswa… Hata tukiwa kwenye ziara zetu wananchi wanasema kwa Sauti kubwa kuwa Maji sio tabu tena… cc @jumaa_aweso @jumaa_aweso | Posted on 31/May/2025 20:55:00

Wema Sepetu
Wema Sepetu

Check out the latest gallery of Wema Sepetu