Wema Sepetu

Wema Sepetu Instagram – Wema wa Mama Samia Suluhu Hassan unazidi kuonaekana… Sio kwa Maneno, Bali kwa vitendo…

Wema wa Mama – KILWA: Safari ya Maendeleo Inaendelea!

Ninaendelea kushuhudia makubwa ambayo Mama Samia ameweka kwa ajili ya Watanzania… Leo niko Kilwa!

Katika muendelezo wa #WemaWaMama, nimeshuhudia moja ya bandari kubwa na za kisasa za uvuvi barani Afrika – Bandari ya Uvuvi ya Kilwa. Hapa, kila kitu kinafanyika:
Uvuvi, uchakataji, viwanda vya samaki, cold rooms za kisasa – kila hatua inaleta ajira, uchumi na matumaini kwa wananchi.

Bandari hii si tu mradi – ni fursa kwa wakazi wa Kilwa, Lindi, na Watanzania wote kuwekeza kwenye uchumi wa buluu (blue economy) na kukuza biashara ya samaki kitaifa na kimataifa.

Kilwa, mji wa kihistoria na tamaduni tajiri za Wamachinga, Wamatumbi na Wangindo, sasa ni kitovu cha mabadiliko ya kweli.

Full story inakuja hivi karibuni kwenye YouTube!
Safari yangu bado inaendelea… usikose kuona kwa macho yako!

#WemaWaMama #Kilwa #BandariYaUvuvi #SamiaSuluhuHassan #BlueEconomy #KampeniYaWema #MabadilikoYaKweli #Uvuvi #Viwanda #FursaZaUwekezaji #Lindi #Tanzania #UpendoWaMamaNguvuYaJamii #ComingSoonOnYouTube | Posted on 27/May/2025 17:04:52

Wema Sepetu
Wema Sepetu

Check out the latest gallery of Wema Sepetu