Wema Sepetu Instagram – NANYUMBU ✨ – MAJI NI MAISHA 💧🇹🇿
Nikiwa Nanyumbu, nilishuhudia muujiza wa kweli… Mtambo mkubwa wa maji – wa kipekee kwa ukanda huu wote – sasa unahudumia maelfu ya wananchi wa Nanyumbu na maeneo jirani. Maji sio changamoto tena! 🙌🏽
Mama ametenda. Kwa moyo, kwa vitendo.
Na kwa hakika, huu ni ushahidi kuwa #MaendeleoNiVitendo. 💚
Nawapongeza sana Wizara ya Maji chini ya Mheshimiwa Waziri Jumaa Aweso, kwa kazi kubwa na ya kipekee. Pia pongezi kwa uongozi wa Mkoa wa Mtwara na Wilaya ya Nanyumbu kwa usimamizi thabiti na utekelezaji wa kweli wa ilani ya mama yetu mpendwa, Rais Samia Suluhu Hassan. 🌍💦 cc @jumaa_aweso
Nimeguswa. Nimefarijika.
Na nimeondoka na moyo wenye matumaini zaidi kwa taifa letu.
FULL EPISODE ya Nanyumbu inakuja YouTube hivi karibuni.
Shuhudia simulizi ya maendeleo kupitia sauti za wananchi na moyo wa Mama.
#WemaWaMama
#SamiaSuluhu
#NguvuYaJamii
#MajiNiUhai
#Nanyumbu
#TanzaniaInajengwa | Posted on 04/Jun/2025 18:51:19



