Wema Sepetu

Wema Sepetu Instagram – Wananchi wenyewe wanasema kwa kujidai… Uzuri wetu sisi Team ya Wema wa Mama tunaingia mpaka ndani kabisa kwa Wananchi… Katika Idara ya Maji, Itoshe kusema Mh @jumaa_aweso Ameupiga mwingi sana… Tukubali Tukatae… Wema wa Mama bado unaonekana sio kwa Maneno bali kwa Vitendo… Asante Mama… 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 @wema_wa_mama @petitman_wakuache | Posted on 16/Jun/2025 10:31:11

Wema Sepetu
Wema Sepetu

Check out the latest gallery of Wema Sepetu