Wema Sepetu Instagram – Maneno sio Yangu haya ni ya Wananchi wa Geita/Katoro…. Wanasema Mama kaupiga mwingi na kuna Mengi wamenufaika alafu pia “Oktoba wanatiki zao… ✅✅✅ 😜😜😜
@petitman_wakuache @wema_wa_mama | Posted on 13/Oct/2025 14:13:24



