Wema Sepetu Instagram – Kazi na UTU, Tunasonga mbele… Wema wa Mama unaonekana Sio kwa maneno bali kwa vitendo…
Nyie Leteni maneno, Sisi tunaonesha vitendo… Tulale sasa… Maana siku ya Kesho ni ndefu mnoooooo…. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 | Posted on 18/Jun/2025 00:33:22



