Hamisa Mobetto

Hamisa Mobetto Instagram – Asante watanzania kwa kuipokea @yaketbeverages
Saba Saba 2025 imetufungua macho Imetufundisha. Na imetuthibitishia kwamba Watanzania wako tayari kwa ubora.

Booth ya @YaketBeverages haikuwa tu sehemu ya kuonyesha bidhaa, bali mahali pa watu kujaribu ladha mpya,

Tuliona nini kinachotokea pale mtu anapokunywa na kutabasamu. Pale mtu anaposema, “haya maji yana kitu tofauti.” Pale mtu anaporudi na rafiki yake

Huo ndiyo uzuri wa bidhaa bora inajieleza yenyewe
Tumepata heshima kubwa sana kwa kila mtu aliyekuja, akaonja, akaongea nasi Na sisi tupo tayari kuisambaza kwa kila kona ya nchi.

📞 Unahitaji #YaketWater kwenye mkoa wowote?
Kwa haraka? Kwa biashara? Kwa tukio lako?

Tupigie. 0718 669 999
Tupo kwa ajili yako
@yaketbeverages | #YaketWater | Posted on 10/Jul/2025 13:40:35

Hamisa Mobetto
Hamisa Mobetto

Check out the latest gallery of Hamisa Mobetto