Sanaa ya kuvaa si kila mtu anaiweza, lakini mimi? Nimezaliwa nayo. 🥰✨ Dress- @mobettostyles MUA- @rosed_makeup Stylist- @rizzythestylist 📸- @kenlaw_photography

Ilikuwa furaha kubwa kuwa pamoja nanyi kwenye banda la @kodtecofficial hapo Sabasaba. Nilipata nafasi ya kukutana na mashabiki zangu, kuona bidhaa zetu za kisasa, na kushuhudia furaha ya wateja waliovutiwa na ofa zetu kabambe! 💃🏽✨ Lakini kama hukuweza kufika siku ile bado hujachelewa! 🎉 Promosheni yetu inaendelea hadi tarehe 13 Julai! Pata punguzo hadi 60% kwenye bidhaa zote, na usiache kuulizia 🔥 “Combo ya Mrs. Ki” punguzo spesho la 65% kutoka kwangu mwenyewe! Njoo ujionee ubora wa KODTEC kwa macho yako! Na upate Bidhaa Bora kwa bei nafuu! #Kodtec #Sabasaba2025 #HamisaMobetto #MrsKiCombo #PunguzoLaKipekee #OfaBadoInaendelea #KaribuKodtec
Ilikuwa siku ya kipekee na Mheshimiwa Balozi wa Ufaransa @as.ave katika Ubalozi wa Ufaransa hapa Tanzania @franceintanzania tulijadiliana kuhusu kukuza sekta ya ubunifu, mitindo, na sanaa 🇹🇿🇫🇷✨ Tukabadilishana mawazo juu ya ukuaji wa vipaji vya ndani, huku tukigusa maeneo yenye umuhimu mkubwa kwa vijana kama elimu, biashara na teknolojia. Tuliwasilisha utambulisho wetu wa mitindo kama njia ya kueleza ubunifu wetu, lakini pia kuonyesha namna sanaa inaweza kuwa daraja la maendeleo. Tunashukuru kwa mapokezi mazuri na maono ya pamoja ya kuendeleza ushirikiano na kuinua kizazi kijacho. 🤝🎨👗📚 L’union fait la force. 🤍 @as.ave @franceintanzania @iammangoma
Asante watanzania kwa kuipokea @yaketbeverages Saba Saba 2025 imetufungua macho Imetufundisha. Na imetuthibitishia kwamba Watanzania wako tayari kwa ubora. Booth ya @YaketBeverages haikuwa tu sehemu ya kuonyesha bidhaa, bali mahali pa watu kujaribu ladha mpya, Tuliona nini kinachotokea pale mtu anapokunywa na kutabasamu. Pale mtu anaposema, “haya maji yana kitu tofauti.” Pale mtu anaporudi na rafiki yake Huo ndiyo uzuri wa bidhaa bora inajieleza yenyewe Tumepata heshima kubwa sana kwa kila mtu aliyekuja, akaonja, akaongea nasi Na sisi tupo tayari kuisambaza kwa kila kona ya nchi. 📞 Unahitaji #YaketWater kwenye mkoa wowote? Kwa haraka? Kwa biashara? Kwa tukio lako? Tupigie. 0718 669 999 Tupo kwa ajili yako @yaketbeverages | #YaketWater
Hey my loves 💚 Kesho, panapo majaliwa, nitakutana na waandishi wa habari kwa mazungumzo muhimu kuhusu safari ya biashara na Brand yangu. Kuna mengi mazuri natamani kuwashirikisha. This is the moment I’ve been waiting for 📍 Johari Rotana | ⏰ Saa 6 mchana Karibuni kwa moyo mmoja especially our amazing media family 🤍 #MobettoMoments #PressDay #HamisaMobetto #MobettoEmpire
Unis par la passion, inspirés par la créativité. 🇹🇿 🇫🇷

Moyo wangu umejaa shukrani kwa kila fursa nipatayo. Asante sana @kodtecofficial kwa kuniamini, na kunifanya sehemu ya safari hii. Na kwa wafanyakazi wenzangu Ahsanteni kwa kufanya kazi yangu kuwa rahisi na yenye furaha. Tumeandika hadithi ya kipekee. 🧡🙏🏽✨ #MoyoWaShukrani #TeamKODTEC #Sabasaba2025

For the very first time, the taste of the South of France touched down in Dar es Salaam and I was honoured to be among the special few invited to welcome @icetropeztz . 🍾✨ Kinywaji cha kifahari chenye mchanganyiko wa bubbly elegance na fruity charm, sasa kinapatikana rasmi Tanzania. Soft launch ilikua na kila kitu mood ya Jioni, mwanga hafifu, glasi mkononi na mimi, nikiwa nimevalia elegance na utamu wa tukio lenyewe. This wasn’t just a drink launch, it was a moment in time. And I showed up ready to sparkle. 💖 ✨ @icetropeztz #IceTropezInDar #LuxuryPoured #LadhaYaKifahari #SoftLaunchElegance
Sisi kama @mobettostyles_wedding ,lengo letu kuu ni kuhakikisha mteja wetu anapendeza na kuangaza kwenye siku yake ya pekee! 🌟👑 Leo ni Birthday ya our @mobettostyles_wedding Doll @zziechyna__ Happy birthday sweetheart Ahsante kwa kutuchagua. 😚 Karibuni wateja wetu wapya Mshone nguo nzuri @mobettostyles_wedding na mpendeze . 🥰❤️ Tunapatikana Kinondoni Studio . Call/WhatsApp@- 0677 667788
@mobettostyles 💥 NEW ARRIVALS! 💥 Karibu @mobettostyle Mahali pa mitindo ya kisasa kwa wanawake wanaojua kupendeza 💃🏽 🌟 Ready to wear 💰 Gauni : 35,000 TZS 📏 Free Size 💎 Material: Best Quality 🚛 Delivery Dar es Salaam ✈️ Tunatuma mikoani, pamoja na Kenya 🇰🇪 & Uganda 🇺🇬 📍 Kinondoni Studio: Piga/WhatsApp 0677 667 788 📍 Tandika Branch: Piga/WhatsApp 0778 727 222 📸 Tembelea kurasa zetu kwa zaidi ya mitindo mipya: @mobettostyles | @mobettostyles_tandika
Siku ya jana nimeheshimika kuwa sehemu ya uzinduzi rasmi wa Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF 2025), tukio lililozinduliwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi. @dr.hmwinyi Hotuba yake imegusa moyo wangu. Akisisitiza dhamira ya Serikali kushirikiana na sekta binafsi, wajasiriamali na wawekezaji ili kuhakikisha mazingira bora ya biashara na uwekezaji hapa nyumbani. Kwa mwanamke ambaye ana ndoto kubwa, haya ni mazingira ambayo yanatia moyo. Maendeleo ya Taifa huanza pale ambapo kila mmoja anapata nafasi ya kushiriki. Nimejifunza, nimehamasika, na zaidi ya yote, najivunia kuwa Mtanzania. Kwa pamoja tunaipeleka Tanzania mbele kwa ubunifu, kwa mshikamano, na kwa uzalendo. 🇹🇿 #DITF2025 #MadeInTanzania #HamisaMobetto #Sabasaba49 #Ujasiriamali #VijanaNaBiashara

🏆🏅Tunajivunia kutangazwa kuwa Banda la Tatu Bora kwa Ujumla katika Maonesho ya Sabasaba 2025! Huu ni ushahidi kuwa safari yetu ya kuwa mshirika wa kweli kwa wateja katika zama hii ya kidigitali inaendelea kwa mafanikio makubwa. Tuzo hii imekabidhiwa na Mgeni Rasmi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dr. Hussein Ali Mwinyi, na kupokelewa na Afisa Mtendaji Mkuu wetu, Pierre Canton Bacara. Tunaamini mafanikio ya mteja ndiyo mafanikio yetu na hii ni hatua nyingine kuelekea huko. Asante kwa kuendelea kutembelea banda letu la Yas kwa kuamini kuwa kwenye kuanza safari yako ya mafanikio pamoja nasi. #YasSabasaba2025 #AnziaUlipoNaYas