Hamisa Mobetto Instagram – Moyo wangu umejaa shukrani kwa kila fursa nipatayo.
Asante sana @kodtecofficial kwa kuniamini, na kunifanya sehemu ya safari hii.
Na kwa wafanyakazi wenzangu Ahsanteni kwa kufanya kazi yangu kuwa rahisi na yenye furaha.
Tumeandika hadithi ya kipekee. 🧡🙏🏽✨
#MoyoWaShukrani #TeamKODTEC #Sabasaba2025 | Posted on 09/Jul/2025 16:33:28
Check out the latest gallery of Hamisa Mobetto



