Hamisa Mobetto

Hamisa Mobetto Instagram – Ilikuwa furaha kubwa kuwa pamoja nanyi kwenye banda la @kodtecofficial hapo Sabasaba.
Nilipata nafasi ya kukutana na mashabiki zangu, kuona bidhaa zetu za kisasa, na kushuhudia furaha ya wateja waliovutiwa na ofa zetu kabambe! 💃🏽✨

Lakini kama hukuweza kufika siku ile bado hujachelewa!
🎉 Promosheni yetu inaendelea hadi tarehe 13 Julai!
Pata punguzo hadi 60% kwenye bidhaa zote, na usiache kuulizia 🔥 “Combo ya Mrs. Ki” punguzo spesho la 65% kutoka kwangu mwenyewe!

Njoo ujionee ubora wa KODTEC kwa macho yako!
Na upate Bidhaa Bora kwa bei nafuu!

#Kodtec #Sabasaba2025 #HamisaMobetto #MrsKiCombo #PunguzoLaKipekee #OfaBadoInaendelea #KaribuKodtec | Posted on 09/Jul/2025 13:59:41

Hamisa Mobetto
Hamisa Mobetto

Check out the latest gallery of Hamisa Mobetto