Rose Ndauka Instagram – Nakupenda sana Mamaangu,wewe ni rafiki mzuri sana kwangu na Mama mzuri kila siku,Furaha yangu ni kukuona unafurahi.
Inshaallah kila tulipanga Mwenyezi Mungu atatenda kwa ukubwa zaidi.. @mama_rosendauka | Posted on 28/Jun/2025 17:55:39



