Kwa yanayoendelea ningekuwa kiongozi wa Seckta uhusika ambayo watu wanailalamikia sana kama nimeshindwa kuboresha basi ningejiuzulu…….. Ila pia kuna siku nilisema kusiwe na uchanguzi ili kusave hela nilisemwa sana mpaka nikashusha post yangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila nilimaanisha uchanguzi uwe huru na wagombea wote waridhike kuweza kupata viongozi wananchi tunaowataka…… Kuna siku nitatamani kupiga kura ila kwasasa…….#MunguNilindeMiminaFamiliayangu msiojulikane mkae mbali na mimi 🤣🤣🤣🤣
Nilitamani sana kuchukua form niwe sauti ya wananchi Ila acha nisubiri katiba mpya au Mnasemaje… yaani ni ku copy na ku paste
Ahaaaa kwa sasa ngoja niachane na mpira,Maana hawa simba na yanga washanichosha akili…..na nikisema nishabikie team ya Mkoa wangu team ya majimaji hawachezi ligi kuu …….Ngoja tu ninywe zangu Juice 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Muogope sana mtu mwenye sura mbili……..Muombe sana Mungu akushindie vita ya Gizani 🙏#MtotowaMamaangu ❤️
Brother and sister love ❤️,Nawapenda sana @princessnaveen @officialprincehaleem
Kheri ya siku ya wababa Duniani,kwenye huu Ulimwengu wa vibwenga vingi,umechangua kuisimamia na kutulinda familia yako Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye fura na Amani…..Nakupenda sana Mume wangu kipenzi ❤️❤️❤️ @haffiyy
hongera sana mine kwa hatua hii @officialprincehaleem cc @al_irshaad_schools Dressed by @hawaii_fashion_style
Ahsante Sana Mdogo wangu @zuuu_collection kwa Huduma nzuri na ya uhakika… Hujachelewa unaweza kuanza sasa kutunza ngozi yako.. Hata tukutane @zuuu_collection
Nakupenda sana Mamaangu,wewe ni rafiki mzuri sana kwangu na Mama mzuri kila siku,Furaha yangu ni kukuona unafurahi. Inshaallah kila tulipanga Mwenyezi Mungu atatenda kwa ukubwa zaidi.. @mama_rosendauka
Congratulations to our babies ,Thank you @al_irshaad_schools For giving our children best education…… I wish all kids for the better bright future ❤️❤️❤️❤️❤️
Congratulations to our babies ,Thank you @al_irshaad_schools For giving our children best education…… I wish all kids for the better bright future ❤️❤️❤️❤️❤️
Dorah Dorah Dorah ya kimarekani,nakupenda sana Dadaangu Nakuombea Mungu akupe maisha marefu na mafanikio tele,sema mambo ya kunifinya mashavu uache jamini nimekua sasa 🤣🤣🤣🤣 ……Kheri ya siku ya kuzaliwa Dadaangu kipenzi Pacha wa Mama Rose ❤️❤️❤️❤️❤️#Joy ebu nisaidie kumtag
A time will come when some people will regret why they treated you wrong……#godalwayswin
Happy birthday to my beautiful wifi maisha marefu kwako na mafanikio ya bila kikomo ❤️❤️❤️❤️❤️ @mishymziray_
Mamaake @officialprincehaleem ❤️❤️❤️❤️ Siwezi kutumia nguvu wakati Mungu wangu anaishi,Namshtakia yeye kwa kila Jambo 🙏
My beautiful Sis ❤️❤️❤️
Uwiiii Boss umetisha sana bwana,nimependeza haswaaaaa @hawaii_fashion_style Dressed and Somalian Turban @hawaii_fashion_style
🏆 Proud Moment Alert! 🏆 We are honoured to receive the *Ladies in Islam Award 2025 (Islamic Women in Business)* for excellence in education, community impact, and student performance. This achievement is a reflection of the dedication of our students, staff, and supportive parents. 👏 Congratulations to our entire school family – this award belongs to all of us! #SchoolAward #ProudMoment #ExcellenceInEducation #TeamWork #AlirshaadSchool
REJETA RADA tupo tayari kuanza kuanza msako wa Rejeta mbovu na kuhakikisha safari yako kuwa Salama……. Leo tupo Tazara kama wewe unachangamoto usisite kutuuliza na tutakupatia elimu ili ujue namna ya utunzaji wa Rejeta. Kwa Mlio mbali mnaweza kutupigia kupitia 255 744451271/ 255716995561 REJETA RADA,REJETA SAFI SAFIRI SALAMA
Tumesema lazima tuwafikie wateja wetu ili kuendelea kutoa elimu na kujua umuhimu wa kutunza Rejeta yako,Hakikisha safiri yako ipo salima kuepuka kusimama barabarani sababu ya Rejeta… Sisi kama @hrdradiatorcompany tupo kwaajili yako kuhakikisha REJETA SAFI,SAFARI SALAMA
🚛🔥 REJETA RADA YAAANZA KAZI! 🔧 Kesho tunaanza rasmi kuizungusha barabara ya Tazara hadi Buguruni! Kama rejeta yako inachemsha, inavuta, au imewaka moto njiani – usiogope! Rejeta Rada ya HRD iko kazini kuhakikisha hakuna foleni wala tabu. Tutakufikia popote ulipo 💪 🧰 Tunatibu rejeta, tunabeba faulty kama sample, na tunatengeneza mpya faster kuliko jua linavyoamka! 📍Cheki na timu yetu kesho mtaani, tutakuelekeza moja kwa moja hadi HRD – Your Reliable Car Doctors! #HRDRadiator #RejetaRada #HudumaBarabarani #CarDoctorsOnTheMove #ReliableRejeta #HRDOnWheels
🎉✨ Congratulations to Our Little Stars! 🌟🎓 We’re so proud of our nursery students for completing this big milestone! 🌈💖 You’ve learned, played, and grown so much — the journey has just begun! 🚀🧸 #NurseryGraduation #ProudMoments #LittleAchievers #AlirshaadSchool #EarlyYearsSuccess
🎓✨ Graduation Day! ✨🎓 Yesterday, on 20 June 2025, we celebrated hard work, growth, and new beginnings. To all our amazing graduates — we are so proud of you! 🌟🎉 May your future be as bright as your smiles today. Keep dreaming big and reaching high! 🌈📚❤️ #GraduationDay #ProudMoment #NewBeginnings #FutureLeaders #CelebratingSuccess
✨ Celebrating Our Incredible Teachers! ✨ Behind every lesson learned and every milestone achieved are our dedicated teachers — guiding, inspiring, and nurturing our students every single day. 📚❤️ Today, we pause to say THANK YOU for your endless patience, creativity, and love. You make a difference in so many lives, and we appreciate you more than words can say. 🌟 Let’s give our teachers the recognition they truly deserve! 👏🎉 #ThankYouTeachers #TeacherAppreciation #Grateful #Inspiration #SchoolFamily