Rose Ndauka Instagram – Kwa yanayoendelea ningekuwa kiongozi wa Seckta uhusika ambayo watu wanailalamikia sana kama nimeshindwa kuboresha basi ningejiuzulu……..
Ila pia kuna siku nilisema kusiwe na uchanguzi ili kusave hela nilisemwa sana mpaka nikashusha post yangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila nilimaanisha uchanguzi uwe huru na wagombea wote waridhike kuweza kupata viongozi wananchi tunaowataka……
Kuna siku nitatamani kupiga kura ila kwasasa…….#MunguNilindeMiminaFamiliayangu msiojulikane mkae mbali na mimi 🤣🤣🤣🤣 | Posted on 12/Jun/2025 10:13:09


