Rose Ndauka Instagram – Ahaaaa kwa sasa ngoja niachane na mpira,Maana hawa simba na yanga washanichosha akili…..na nikisema nishabikie team ya Mkoa wangu team ya majimaji hawachezi ligi kuu …….Ngoja tu ninywe zangu Juice 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 | Posted on 14/Jun/2025 00:24:26
Check out the latest gallery of Rose Ndauka



