Rose Ndauka Instagram – REJETA RADA tupo tayari kuanza kuanza msako wa Rejeta mbovu na kuhakikisha safari yako kuwa Salama…….
Leo tupo Tazara kama wewe unachangamoto usisite kutuuliza na tutakupatia elimu ili ujue namna ya utunzaji wa Rejeta.
Kwa Mlio mbali mnaweza kutupigia kupitia 255 744451271/ 255716995561
REJETA RADA,REJETA SAFI SAFIRI SALAMA | Posted on 25/Jun/2025 10:22:22



