Jacqueline Wolper

Jacqueline Wolper Instagram – Watu wa Mungu msikate tamaa kwa mambo ya watu wa mitandaoni, kwasababu hata wao wanahitaji huduma zenu kama si leo kesho watawahitaji tu au Mungu anaweza kubadilisha mioyo yao muda wowote.Msipanikishwe na sisi watu wa Mungu kwasababu pia tunawategemea au wapo watu wanakombolewa kupitia huduma zenu mnazofanya…wapo watu wanamuona Mungu katika huduma mnazofanya…shetani ni muharibifu na zaidi ni muongo hivyo mzidi kuwa na moyo wa kutuombea au kutufundisha neno la Mungu kila siku bila kuchoka maana vizazi vinatakiwa vimjue huyu Mungu alie juu kupitia nyinyi watumishi wa Mungu!🙏🏿🙏🏿 | Posted on 08/Aug/2025 15:36:12

Jacqueline Wolper
Jacqueline Wolper

Check out the latest gallery of Jacqueline Wolper