Kuna ule usemi unasema NABII hakubaliki kwao…Kuna Mtumishi mmoja wa Mungu kuna video yake imetembea sana huku mitandaoni, halafu baadhi ya watu wamechukulia ni kama content kwenye kurasa zao! Kitu ambacho naona sijapenda kwa mtazamo wangu sifurahishwi na aina hiyo ya masihara hivi jamani kwa Mungu kuna linaloshindikana kweli au IMANI zetu zipo wapi, Mungu anaweza akafanya njia hata pasipo na njia, anaweza akafanya chochote kwenye hali ambayo wewe unaweza kuona haiwezekani..hawa wabeba maono tujifunze namna ya kuwaheshimu kwasababu kuna vitu Mungu ameweka ndani yao ambavyo hatuwezi kuelewa kwa macho ya nyama..Miujiza ipo na watu wanakutana na miujiza kila siku msione masihara lakini watu wanatendewa katika hali ambazo si za kawaida.Na siku zote watu wenye maono huwaga wanachukuliwa poa unaweza kuwaona kama watu wa kawaida au kuwadharau lakini hiyo nguvu aliyoweka Mungu ndani ya mbeba maono ina uwezo hata wa kukomboa TAIFA, ina uwezo wa kubadilisha historia na maisha ya watu..wengine tuna ushuhuda nyingi za kushangaza lakini muda na kibali bado hatujapata cha kushuhudia…tuache kubeza imanı za watu na pengine kuna watu kibao wanamuona Mungu kupitia hao mnaowaletea masihara..nimejifunza hilo swala la kuamini pale niliposoma WAEBRANIA 11:1 Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana. 🙏🏿
Napendwa saaaana Navyojisikia Moyooni .. #mbayaaaa💋love The 🎶
Watu wa Mungu msikate tamaa kwa mambo ya watu wa mitandaoni, kwasababu hata wao wanahitaji huduma zenu kama si leo kesho watawahitaji tu au Mungu anaweza kubadilisha mioyo yao muda wowote.Msipanikishwe na sisi watu wa Mungu kwasababu pia tunawategemea au wapo watu wanakombolewa kupitia huduma zenu mnazofanya…wapo watu wanamuona Mungu katika huduma mnazofanya…shetani ni muharibifu na zaidi ni muongo hivyo mzidi kuwa na moyo wa kutuombea au kutufundisha neno la Mungu kila siku bila kuchoka maana vizazi vinatakiwa vimjue huyu Mungu alie juu kupitia nyinyi watumishi wa Mungu!🙏🏿🙏🏿
your Biggest fan is a stranger. your Biggest hater is someone you know 🪡 . @chizimapicha @designed_by_shuu
WOLSHER GOLD SHOWER GEL – inang’arisha ngozi haswaa (supper whitening shower gel) – inaondoa mishipa ya kijani inayotokana na vipodozi vikali – inaondoa sugu na mabaka meusi – inaondoa mikunjo kwenye ngozi – inaondoa harufu mbaya ya mwilini – inasaidia sana kupunguza michirizi Hutakiwi kukosa hii bafuni kwako ni balaa na nusu Bei 30,000/= 📞0759888288
WOLSHER DAY & NIGHT CREAM ⭐ Jamani katika kitu hutakiwi kukosa usoni kwako ni hiii day & night cream ya Wolsher yaaani ni balaa na nusu 🍎Ina cream ya kutumia asubuh na cream yakutumia usiku wakati wa kulala yaani 2 in 1 ✨Ina collegen yakutosha ✨Inang’arisha unakua na rangi nzuri mnoo ✨Inasaidia ngozi kuto zeeka mapema ✨Inamatokeo mazuri sana kwenye skin glowing ✨ Inarekebisha ngozi iliyo haribika na vipodoz vikali 💰40,000/= 📍TUPO SINZA MADUKANI 📞 2557 59888288
WOLSHER STRETCH-MARK OIL -inaondoa mikunjo ya ngozi ata ile ya kuzeeka na ya baada ya kujifungua -inafanya ngozi kua soft ya bila chunusi -inasaidia kuweka unyevu nyevu kwenye ngozi (moisturizing) -inaondoa makovu kwenye ngozi -inaondoa michirizi -inarekebisha ngozi iliyoharibika baada ya kujifungua na hata baada ya mtu kutumia cream kali BEI: 20,000/= 📞0759888288
LOTION YA KOMAMANGA *Kiboko ya matatizo ya ngozi *Inasaidia kuhimarisha afya ya ngozi *Inaondoa/kupunguza vipele *Inang’arisha ngozi *Inafanya ngozi inaglow na kuvutia zaidi *Kwa mtu alieharibika na cream Kali hii itarudisha ngozi Yako katika ubora wake Wahi sasa bei ni 50,000 📞0759888288
Good Morning My pipoooo yeees Tupo wazi Dukani kwetu karibu Tukuhudumie kama upo mbali Basi Tunakufwata ulipo yani Njoo Tibu chunusi,Makovu,shilingi,Michirizi,Na uchafu wote wa Mwili Tunaondoa kwa Garama Nafuu kabisa 📞0759888288

Goood Morning My pipooooo happy 8/8 Day kwa wote..Leo Tupo wazi Dukani kwetu karibu Tukuhudumie mpendwa 0759888288
Tupo wazi karibuni saana 📞 0759888288