Most liked photo of Jacqueline Wolper with over 31.3K likes is the following photo

We have around 101 most liked photos of Jacqueline Wolper with the thumbnails listed below. Click on any of them to view the full image along with its caption, like count, and a button to download the photo.
31.3K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : cheer’s kwa wamama wote Mnaoweza kuuumizwa Na mapenzi Alafu Mkakaza kama vile kaupepo Tuu kakimbunga kamepita Ni Mimi huyu Mama pipi 2 The 1 & twoo Tafuta pesa My sis . nywele kali @allenndaray1Likes : 31342
29.7K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Maombi ya kwanza Ni ya kwako wewe Mama,so Mama usisahau kuombea wanao ,ata ka dakika kamoja Tuu weka Mkono wako juu yake, Mfunike Na Dam ya yesu .. Either unaenda kazini wewe au wanaenda shule wao,pindi Muamkapo Na Mlalapo muhm saana dia .. Shetani yupo kazini imani yako itakuponya Mungu Akubariki saaana ❤️❤️❤️ . . Tupo wazi Dukani kwetu karibuni saana ☎️ 0759888288Likes : 29685
26.7K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Eti leo Kijana wa kuku wananiambia ukitoa Yai kuku Anaona Eti Atagi tena jamani😂😂 kweli?? . Nime mind hadi Naita kuku Binadam😂😂Nimehisi wanaonewa TuuLikes : 26722
25.9K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Nilituliza saaaanaaaa kichwa wakati namchagua huyu Best Friend wangu @wolperstylish , Yaani nilituliza akili kama nachagua Mchumba😁🤣 nilimsikiliza kwa umakini Maana ya kila anachokisema kwangu, kila anachokifanya, akiwa na mimi namsikiliza je anaashiria nini, jinsi anavyo watreat wafanyakazi wake, wateja na hata akizungumza na mtu pembeni NILIMSOMA! Tukipiga picha kama kalipstick kangu kamekaa vibaya yeye kapendeza je atasema nini, saingine Namchokoza tu, “ Hivi Wolper unasemaje juu ya mtu fulani “ jibu lake huwa Chanya, Ana hekima, busara, Upendo MIA FIL MIA! 💯Am an overthinker and that as it is , it’s hard ! But huyu Mwamba, huyu Kiongozi, huyu mama bora, huyu mwalimu,huyu mpambanaji, huyu mwanamke WA SHOKA, huyu Rafiki wa damu yangu ANA UPENDO MKUBWA SANA KWANGU! Jana usiku saa 8 kanipigia kasema BFF SOMA ZABURI 35 Afu lala! Nyieeeee🥺🥺🥺🥹🥹🥹😭😭😭😭 Nikiwa nasafiri Ndege inatua saa 10 usiku, halali hadi niseme nimefika na niko salama chumbani kwangu ndo alale! MAOMBI tunayoomba, sisi ni wa juu Milele! METHALI 17:17 🙏🏽Likes : 25897
25.2K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Nikiwaga shambani kwangu kupika Ni kitu Napenda sana .. Na Tambikoo kwa Mbalii😁 Ila Mama jacq Thank u so Much Naishi popote haya Ni Malezi yako Nitalipa kwa wajukuu wako stokuangusha love u Moma❤️ RoleModooLikes : 25194
23.7K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : ukweli Ni kwamba Nilianguka kweli Ila Niliendelea Ili vdio isiishie Njiani, Haya Ndugu zangu Nauza mafuta Na hayo nimedondosha hapo Ni mafuta mazuri sana karibuni saana Tupo sinza Madukani.. Muje Tuu Muungishe huyu Mama asije akapoteza dira😂 karibuni sana ☎️ 0759888288Likes : 23703
22.1K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : slide Dada paris Akiwa Nyumbani @min_wolpertz 😍 . sifa ya paris kwenye usafi Mashallah Mungu Akukuze vivyo hivyo Bint Richard 😍Likes : 22133
22.1K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : slide Dada paris Akiwa Nyumbani @min_wolpertz 😍 . sifa ya paris kwenye usafi Mashallah Mungu Akukuze vivyo hivyo Bint Richard 😍Likes : 22133
22.1K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : slide Dada paris Akiwa Nyumbani @min_wolpertz 😍 . sifa ya paris kwenye usafi Mashallah Mungu Akukuze vivyo hivyo Bint Richard 😍Likes : 22133
22.1K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : slide Dada paris Akiwa Nyumbani @min_wolpertz 😍 . sifa ya paris kwenye usafi Mashallah Mungu Akukuze vivyo hivyo Bint Richard 😍Likes : 22133
22.1K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : slide Dada paris Akiwa Nyumbani @min_wolpertz 😍 . sifa ya paris kwenye usafi Mashallah Mungu Akukuze vivyo hivyo Bint Richard 😍Likes : 22133
22.1K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : slide Dada paris Akiwa Nyumbani @min_wolpertz 😍 . sifa ya paris kwenye usafi Mashallah Mungu Akukuze vivyo hivyo Bint Richard 😍Likes : 22133
22.1K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : slide Dada paris Akiwa Nyumbani @min_wolpertz 😍 . sifa ya paris kwenye usafi Mashallah Mungu Akukuze vivyo hivyo Bint Richard 😍Likes : 22133
20.4K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Haya Narudi kujipenda This month Inshallah Mazoezi sana samaki kwa wingiii No sixiiiii😂 . @nicolejoyberry Nimesahau kukushtua😂Likes : 20431
18.6K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Eti kwa Baba yako😂😂Ata awanijui Kama Ni shambani kwangu ngoja siku Nifukuzwe lol…. . . plz Naomba sup Anayeuza kuku wazuri wakufuga wa Mayai Ambao naweza kutotolesha plz njoo sup 0759888288Likes : 18634
16.6K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Namshukuru Mungu sana nilipata nafasi ya kujumuika na familia yangu, kwakweli ni jambo la baraka ndugu tunapokutana🙏Na ilikuwa ibada nzuri sana ya shukrani kwa familia nzima…Namshukuru Mungu kwa kunipa neema hii ya kumshukuru kila leo…Ahsante sana Mungu kwa kunipa kibali hiki..niwatakie jumapili njema yenye FURAHA, AMANI NA UPENDO na Mungu awabariki🙏Likes : 16568
15.2K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Siku zote mimi huwaga ni mtu mwenye huruma sana, najiskia vibaya kiukweli nikiona washiriki wanaaga mashindano Pole @ruqy_makeup nakutakia kila la kheri kwenye kazi zako, waTanzania msiache kumsupport❤️💄 Kama ulikosa @themakeovershow marudio ni leo saa 12:10 jioni ndani ya DSTV Maisha Magic Bongo Ch.160 Hili ni #kabumbulabrushnapowder #trending #viral #beautifulwoman #makeupartistry #fashionmodelsLikes : 15202
14.5K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Aiseee Mitandao Inanguvu saana Nimepata The Best kuku chap kwa haraka Thank u so Much guys saanaa Naanda Mazingira ya Nyumbani Nipate udhoefu ili Niepeleke shambani wakajumuike Na Mifugo Mingine kwa ujumla🙏Likes : 14521
14.5K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Dunia Ya Leo kila kitu pesa Mtu yupo Tayari kuuza UTU wake/wamwenzake kisa pesa🥲 . Nywele @allenndaray1Likes : 14469
13.3K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Haya nasoma comments zenu mwenye tusi jipya atajishindia khanga yenye picha ya mama SAMIA na wanaume watashinda Tshirt yenye picha ya mama haya twende kazi…Sasa taratibu msipigane kwenye comment 😜😜Jamani eeeh oktoba tunatiki na mkigoma TUTAWATIKIA…✅✅✅ nauliza nani kama MAMA @samia_suluhu_hassanLikes : 13324
12.7K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Helllow My pipoooo sasa Twende Dubai Tukafwate unyunyu yani Kunukia Mwanzo Mwisho kwa Bei halali kabisa ya Mtanzania wa kawaida👌 see u in few days 🥰 . Ila P’A unatembea vibaya jamani 😂😂 @secystylish21Likes : 12724
12.6K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Nilikuwa Na Funga ya siku Tano leo ndio siku ya Tano Nimemaliza leo…. I have something To Tell sis Pray 🙏Likes : 12584
12.4K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Madeko Drama But humble @min_wolpertz 💕💕Likes : 12420
12.2K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Pacha Tunaomba za watoto sasa 😂😂 @ireneuwoya8 .. . Shaloom watu wa Mungu Naomba sana support kwanza unajipatia Baraka kwakuchangia Anachofanya irene kwa vijana wasiojiweza, pili unakua umetoa sadaka Na kujichukulia Baraka zako Bureee .. . @friendsofgodministry1 ☎️ 255715342134Likes : 12223
11.4K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Shaloom watu wa Mungu Naomba sana support yenu kwa @ireneuwoya8 Mkanunue hizi pullover Na nexr vdio Nitaeapostia Tshert zake.. kwanza unajipatia Baraka kwakuchangia Anachofanya irene kwa vijana wasiojiweza pili unakua umetoa sadaka Na kujichukulia Baraka zako Bureee @friendsofgodministry1 ☎️ 255715342134Likes : 11387
11.3K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Naelekea KINYEREZI MADUKANI kwa mtumishi wa Mungu Prophet Philbert Paschal kwenye lile kongamano letu kubwa nitakuwa pale kuwapokea wageni wote @prophet_philbertpaschalLikes : 11283
9.5K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Acha Nimalize kuzaa Nirudi ku slaaay wigi Nini 😂😂 haya wapenzi wangu kina Mama wenzangu Tulee huku Turudishe urembo wetu @nicolejoyberry mashauri Mkuu Nimekusikia kamanda Nitalifanyia Kazi ..Likes : 9519
7.8K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : I Trust u God 🙏 . ❤️❤️❤️Likes : 7780
7.4K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Basi Bwana jana Ikawa Busy Day kwa Mama pipi jambo Ambalo siku nyingi sijaliweza kutoka Na heka heka ..Nashukuru Mungu nilifanikisha kwa Baby shower ya Mdogo wangu Roxy @Roxie_dolly 😍 . Bila kusahau Miss Migubu wangu kwenye moja Na Mbili ye anatakaga Neno liwe sheria😂 Basi bana tukatoka Tukapanga Majambo yetu ya vibunda 💰 ila kikao akijakamilika.. So Tuombeane uzima..🙏 All in All Thank u My Good friend My only Bff Nimebeba kila jambo Na Mungu akanipe Hekima kubwa sana kwenye kila hatua… love u Mungu Abariki kazi za Mikono yetu @nicolejoyberry ur The one I Trust God Protect u Besteee🍇❤️❤️💕Likes : 7420
7.1K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Asante Mungu 🙏 . I love u so Much @mitindojrLikes : 7097
7.1K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Twendezetu Mbagala kwa @Mandela_cosmetics piga cm kuelekezwa Mbagala ☎️0718104000Likes : 7073
7K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : BUSARA NA UPENDO NDIO URITHI TOKA KWA MAMA JACQ LOVE U MOMA ROLE MODOO😍😍 . . #hiyosetsinanimeuzanimenunuaMabati😂😂Likes : 6959
6.3K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Haya kwa wapenda Midude ya Mamtoni kama hiyo Naomba cheq Na @pp_aircargo.tz Ndani ya siku Moja unapata Thank u Baba Pipi kwa zawadi 👜🧳 @pp_aircargo.tz 🔥🔥❤️Likes : 6322
5.8K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Tumefika Mbagala kwa @Mandela_cosmetics karibuni saanaa piga cm kuelekezwa Mbagala ☎️0718104000Likes : 5838
5.8K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Huu Mwaka Nikiahidi Mashabiki wangu kwamba Ni Mwaka Wa kazi Bandika Bandua..IN GOD WE TRUST 😍 . Tupo wazi Dukani karibuni saana 0759888288Likes : 5790
5.6K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Kuna ule usemi unasema NABII hakubaliki kwao…Kuna Mtumishi mmoja wa Mungu kuna video yake imetembea sana huku mitandaoni, halafu baadhi ya watu wamechukulia ni kama content kwenye kurasa zao! Kitu ambacho naona sijapenda kwa mtazamo wangu sifurahishwi na aina hiyo ya masihara hivi jamani kwa Mungu kuna linaloshindikana kweli au IMANI zetu zipo wapi, Mungu anaweza akafanya njia hata pasipo na njia, anaweza akafanya chochote kwenye hali ambayo wewe unaweza kuona haiwezekani..hawa wabeba maono tujifunze namna ya kuwaheshimu kwasababu kuna vitu Mungu ameweka ndani yao ambavyo hatuwezi kuelewa kwa macho ya nyama..Miujiza ipo na watu wanakutana na miujiza kila siku msione masihara lakini watu wanatendewa katika hali ambazo si za kawaida.Na siku zote watu wenye maono huwaga wanachukuliwa poa unaweza kuwaona kama watu wa kawaida au kuwadharau lakini hiyo nguvu aliyoweka Mungu ndani ya mbeba maono ina uwezo hata wa kukomboa TAIFA, ina uwezo wa kubadilisha historia na maisha ya watu..wengine tuna ushuhuda nyingi za kushangaza lakini muda na kibali bado hatujapata cha kushuhudia…tuache kubeza imanı za watu na pengine kuna watu kibao wanamuona Mungu kupitia hao mnaowaletea masihara..nimejifunza hilo swala la kuamini pale niliposoma WAEBRANIA 11:1 Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana. 🙏🏿Likes : 5578
5.6K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Verry soon unanikia Nakuulizwa umepulizia Nini bwana kumbato liendane Na Maneno matamu bwana ooh Baby u smell very nice we ujapenda hapo Maneno Toka kwa Mpenzi,Rafiki Na Majirani haya kaa Tayari sweetheartLikes : 5552
5.5K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : With My lovely Family Nawapenda sana Mungu Awaweke kwa Ajili yangu jumapili njema watu wa Mungu❤️❤️ . #Thank u so serena wa Dada wa pale wamenihudumia vyema saana love Them😍Likes : 5512
5.5K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Mimi jacqueline wolper Massawe (Mama Paschal&Paris)..Nimekombolewa 🙏 Nakuombea Na wewe ukombolewe leo in Jesus Name..na kila kijana Mungu akusaidie uelewe kusudi la wewe kuwa hapa duniani na umjue Mungu katika nyakati zote.Likes : 5497
5.5K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Mambo ya kijijini hayo Maisha Niyapendayo,Hu kwetu Tunaita Mfreg yani Tunapata Maji safi Ata Kama auna Bomba we unaslaay Tuu..so Nice I love it #dreams’MkulimaLikes : 5486
5.5K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption :Likes : 5472
5.3K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Nina ushuhuda huyu yesu kweli Anafanya Tena Na tena,Anafanya tena Na Tena yesu Amenitendea huyu yesu kweli Anafanya Nina ushuhuda 🙏Kama ujamuamini Bado Nakuombea leo ukapokee Na ukaamini in jesus Name… . when u see Me u see My bznez👏Likes : 5307
4.7K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : FOCUS 🍇 @wolperstore . . unakumbuka lakini lemba lako😊uliweza kunivumilia Mama k Mimi @malkia_luxury_palace_Likes : 4735
3.6K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Napendwa saaaana Navyojisikia Moyooni .. #mbayaaaa💋love The 🎶Likes : 3621
3.5K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : I am deeply honored to receive this prestigious international award. I want to sincerely thank the organizers, the jury, and everyone who believed in me and my work. Bila kuwasahau watanzania kwa sapoti wanayonipa continuously given the fact kwamba hawajaniona muda mrefu kideoni. This recognition inspires me to keep pushing boundaries and telling stories that matter. Thank you for this incredible honor. Cc @hapawards @hapawards . Mua 💋 @Maggepol_makeuptz gauni yangu kali @j_adorecouturetz . Nywele kali Dady @allenndaray1 @hapawardsLikes : 3507
3.4K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : MAMA ALIWAI KUNIAMBIA ANGUKO LA MTU LIPO MIKONONI KWA MTU KUWA SO MAKINI NA MTU MWANANGU 👀 SOMA TENA MWAYALikes : 3358
3.4K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Uzee Hazina, Uzuri ni Tabia 💄🎊 Tuwasaidie judges kuchagua makeup ipi nzuri.. Kama ulikosa show ijumaa marudio ni leo 6:15pm @themakeovershow Maisha Magic Bongo Ch.160 Hili ni #kabumbulabrushnapowder #trending #viral #beautifulwoman #makeupartistry #fashionmodels Cc @dstvtanzania @maishamagicbongo Production house @tp_studiostzLikes : 3356
2.9K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Lipgloss Nzuri sana zipo Dukani Zipo za elf5 Na Elf10 Tupo sinza 0759888288 . Nywele Yangu kwa Mkubwa wa Nywele Tz @allenndaray1 wapo sinza,kinondoni Na kariakoLikes : 2935
2.9K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Helllow sato Mambo Mazuri yapo Dukani karibuni saana sana unachotaka Tuma sup kama uwezi kuja Tutakupa Bei nakukuletea ulipo kwa garama zako Barikiwa sanaa ☎️0759888288Likes : 2922
2.8K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Watu wa Mungu msikate tamaa kwa mambo ya watu wa mitandaoni, kwasababu hata wao wanahitaji huduma zenu kama si leo kesho watawahitaji tu au Mungu anaweza kubadilisha mioyo yao muda wowote.Msipanikishwe na sisi watu wa Mungu kwasababu pia tunawategemea au wapo watu wanakombolewa kupitia huduma zenu mnazofanya…wapo watu wanamuona Mungu katika huduma mnazofanya…shetani ni muharibifu na zaidi ni muongo hivyo mzidi kuwa na moyo wa kutuombea au kutufundisha neno la Mungu kila siku bila kuchoka maana vizazi vinatakiwa vimjue huyu Mungu alie juu kupitia nyinyi watumishi wa Mungu!🙏🏿🙏🏿Likes : 2782
2.7K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : habibi come To Dubenga ufilisike😂😂Mambo Moto saana walah wateja wangu ahadi yangu kwenu Ni Moto saaana …yani Make a Trust kwenye kunukia niachie Mimi Nikupe Raha Mtoto wa kike Na ukampatie Raha la Bubu wako kwa zawadi nzuri ya uturiii Toka @wolperstoreLikes : 2723
2.6K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Naomba uswipe umuone Mwenye morogoro yake Anakwambia mambo ya wolsher yapo hapa… . . Hellow .., Karibu MS.SHOPPER COSMETICS Tutakuhudumia hivi punde Ufanyapo malipo ya bidhaa. Tafadhali. Foward sms ya muamala wako No za malipo :5520013 mpesa lipa namba UNAWEZA LIPA KWA MITANDAO YOTE JINA: ROSE CHARLES KILEO PIGA NO HIZI KWA MSAADA WA HARAKA 1:0757886401 2: 0673625606 🩸TUPO FRAME ZA MOUNT ULUGULU OPPOSITE NA GOROFA LA KIJANILikes : 2635
2.6K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Naomba uswipe umuone Mwenye morogoro yake Anakwambia mambo ya wolsher yapo hapa… . . Hellow .., Karibu MS.SHOPPER COSMETICS Tutakuhudumia hivi punde Ufanyapo malipo ya bidhaa. Tafadhali. Foward sms ya muamala wako No za malipo :5520013 mpesa lipa namba UNAWEZA LIPA KWA MITANDAO YOTE JINA: ROSE CHARLES KILEO PIGA NO HIZI KWA MSAADA WA HARAKA 1:0757886401 2: 0673625606 🩸TUPO FRAME ZA MOUNT ULUGULU OPPOSITE NA GOROFA LA KIJANILikes : 2635
2.6K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Naomba uswipe umuone Mwenye morogoro yake Anakwambia mambo ya wolsher yapo hapa… . . Hellow .., Karibu MS.SHOPPER COSMETICS Tutakuhudumia hivi punde Ufanyapo malipo ya bidhaa. Tafadhali. Foward sms ya muamala wako No za malipo :5520013 mpesa lipa namba UNAWEZA LIPA KWA MITANDAO YOTE JINA: ROSE CHARLES KILEO PIGA NO HIZI KWA MSAADA WA HARAKA 1:0757886401 2: 0673625606 🩸TUPO FRAME ZA MOUNT ULUGULU OPPOSITE NA GOROFA LA KIJANILikes : 2635
2.6K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Naomba uswipe umuone Mwenye morogoro yake Anakwambia mambo ya wolsher yapo hapa… . . Hellow .., Karibu MS.SHOPPER COSMETICS Tutakuhudumia hivi punde Ufanyapo malipo ya bidhaa. Tafadhali. Foward sms ya muamala wako No za malipo :5520013 mpesa lipa namba UNAWEZA LIPA KWA MITANDAO YOTE JINA: ROSE CHARLES KILEO PIGA NO HIZI KWA MSAADA WA HARAKA 1:0757886401 2: 0673625606 🩸TUPO FRAME ZA MOUNT ULUGULU OPPOSITE NA GOROFA LA KIJANILikes : 2635
2.6K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Leo miujiza ni mingi sana kipande hiki😂 mpaka judges wanachanganyikiwa Uhondo huu unapatikana kwenye @themakeovershow DSTV kila ijumaa saa mbili kamili usiku Maisha Magic Bongo Ch.160 Hili ni #kabumbulabrushnapowder #trending #viral #beautifulwoman #makeupartistry #fashionmodels Cc @dstvtanzania @maishamagicbongo Production house @tp_studiostzLikes : 2603
2.6K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Dera la Eid unalijua weye? 😂😂 Is it Vigelegele or Vilegelege? 😂😂 Uhondo huu unapatikana kwenye @themakeovershow DSTV kila ijumaa saa mbili kamili usiku Maisha Magic Bongo Ch.160 Hili ni #kabumbulabrushnapowder #trending #viral #beautifulwoman #makeupartistry #fashionmodels Cc @dstvtanzania @maishamagicbongo Production house @tp_studiostzLikes : 2599
2.5K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Wiki nyingine tena tunakutana kwenye kabumbu la brush na powder. Washiriki pambe wapakwa makeup nao pambe🎊🔥 Uhondo huu unapatikana kwenye @themakeovershow DSTV kila ijumaa saa mbili kamili usiku Maisha Magic Bongo Ch.160 Hili ni #kabumbulabrushnapowder #trending #viral #beautifulwoman #makeupartistry #fashionmodels Cc @dstvtanzania @maishamagicbongo Production house @tp_studiostzLikes : 2461
2.3K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : yees 🙋♀️ Andaa pesa yako sweetheart kwa Ajili ya kunukia utam utam,Rudisha penzi lililokufa Rudisha penzi ulilonyakuliwa Na Bi Mwajuu chaap😂😂Likes : 2295
2.3K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Chukua hiyo siyo memes Yamenikuta 🥂Likes : 2274
2.2K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Njia yetu Ni Moja Tusamehane,Tupendane Tumrudie Mungu🙏Likes : 2218
2K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Mwanamama Age Goo Akha kazigo muhim usisubri upate malesma kisa jua nope njoo chukua 30 Tuu 0759888288Likes : 2040
1.9K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Nikuhakikishie Tuu kunukia kwakweli sina Makosa kwenye hili oG saana kizazi Mnooo God I Trust u❤️🙏Likes : 1888
1.7K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : splash Elf50 offer kawaida Ni elf70 ila Nauza 50 Now ya karibu Mteja call 0759888288 unyunyu pia upo wa kwanzia Elf50 kupanda juu Tunawapenda karibuniLikes : 1739
1.7K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : KAZI NA UTU ✅ NANI KAMA MAMA 💚💚💚💚 WANETU TUTIKI TU OKTOBA ✅✅✅✅✅ @samia_suluhu_hassanLikes : 1689
1.7K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : your Biggest fan is a stranger. your Biggest hater is someone you know 🪡 . @chizimapicha @designed_by_shuuLikes : 1675
1.6K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Goood Morning watu wa Mungu,Fanya kazi Enjoy usimsahau Mungu Mwaya sema Nae katika kila jambo lako.. . . Hellow .., Karibu MS.SHOPPER COSMETICS Tutakuhudumia hivi punde Ufanyapo malipo ya bidhaa. Tafadhali. Foward sms ya muamala wako No za malipo :5520013 mpesa lipa namba UNAWEZA LIPA KWA MITANDAO YOTE JINA: ROSE CHARLES KILEO PIGA NO HIZI KWA MSAADA WA HARAKA 1:0757886401 2: 0673625606 🩸TUPO FRAME ZA MOUNT ULUGULU OPPOSITE NA GOROFA LA KIJANILikes : 1624
1.6K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Leo miujiza ni mingi sana kipande hiki😂 mpaka judges wanachanganyikiwa Uhondo huu unapatikana kwenye @themakeovershow DSTV kila ijumaa saa mbili kamili usiku Maisha Magic Bongo Ch.160 Hili ni #kabumbulabrushnapowder #trending #viral #beautifulwoman #makeupartistry #fashionmodels Cc @dstvtanzania @maishamagicbongo Production house @tp_studiostzLikes : 1623
1.5K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : za Asubuhi Mama jasu haya kuja huku Tupo sinza Madukani 0759888288Likes : 1518
1.4K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Tupo Na lotion nzuri saanaa Na vitu vingi Tofauti karibu saana wapendwa call 📞 0759888288 jumapili njemaLikes : 1437
1.4K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Mungu wangu Ni Mwaminifu sana sjui wewe unachokiabudu kama kinakupa Raha kama huyu Mungu, Mimi Ni shabiki Namba Moja wa kazi zako Mungu 🙏 kesho Ni siku Nzuri Nawakaribisha kunukia nawapenda saana … . Thank u saidi na Murabu wa kilimanjaro mmetisha sana cc @silent_ocean_ltdLikes : 1427
1.4K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Good Morning My pipoooo Tupo wazi karibuni saana karibu tuwahudumie Bei za kitanzania Njoo Natatizo lako lolote kasoro uhai Tuu ila hadi streees za Mapenzi dawa zipo😂 ☎️ 0759888288Likes : 1413
1.4K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Mambo lazima yawe Moto saaana Ni Mwendo wa kunukia Tuu wapenzi wangu stay tuned ❤️❤️❤️Likes : 1351
1.3K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : 🍊🧡Likes : 1271
1.3K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption :Likes : 1264
1.3K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : LOTION YA KOMAMANGA *Kiboko ya matatizo ya ngozi *Inasaidia kuhimarisha afya ya ngozi *Inaondoa/kupunguza vipele *Inang’arisha ngozi *Inafanya ngozi inaglow na kuvutia zaidi *Kwa mtu alieharibika na cream Kali hii itarudisha ngozi Yako katika ubora wake Wahi sasa bei ni 50,000/= Mix 100,000 📞0759888288Likes : 1252
1.2K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Tupo wazi karibuni saana 0759888288Likes : 1184
1.1K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Fake life is new disease 🦠 . #Mmerudishwa🦠Likes : 1147
1.1K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Tupo hapa kukuhudumia Dear 0759888288Likes : 1136
1.1K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Helllow Bint helllow Kaka ukiwa Na Mpenzi wako uwa Mnaoga pamoja au Tumuachie Mungu😂 Je uwa unatumia product gani Na Mpenzi wako🥲 Tunakukaribisha utoroke uje @wolperstore . cc @kobak_film @chapanisha_imagez @chamack99_Likes : 1062
1.1K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Helllow My pipoooo Tangazo Tangazo kesho mapema Nipo Hapo @Mandela_cosmetics . . Napima Ngozi Bure kwa Anayenunua Tuu karibu saana ☎️ 0718104000Likes : 1058
1K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Katika pilika za hapa Na pale Tukakutana Na Mkali Asiyechuja Broo @princedullysykes Na Kaka Ambaye nimekua nikicheka sana kwa sanaa yake nakua shabiki wa gafla kumbe bana na yeye ni shabiki Alinipa maneno Mazuri sana kama ananijua vile kiundani Nanilifurahi saana @k_mandonga kwa mkali wa sound @dicksoundmallLikes : 1030
1K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Watu wa Arusha Mzigo ndio huo hapo sasa @kubrasadiki piga cm kuelekezwa Dukani chaap .. Watu wangu wa Arusha☎️ 255 62 019 4229 . . Mizigo yangu Natuma @usiri_transportation_ltd Hakika Mimi na wateja wangu tunayo imani kubwa sana na @usiri_transportation_ltd huduma za kuaminika, usalama, uharaka katika usafirishaji wa mizigo kutoka hapa Dar es salaam kwenda mikoa yote Tanzania.Likes : 1022
1K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption :Likes : 1005
1K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Tupo wazi sinza Madukani karibuni saana ☎️0759888288Likes : 996
0.9K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Happy sunday everyone ❤️❤️❤️🤎🍓Likes : 913
0.9K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : WOLSHER DAY & NIGHT CREAM ⭐ Jamani katika kitu hutakiwi kukosa usoni kwako ni hiii day & night cream ya Wolsher yaaani ni balaa na nusu 🍎Ina cream ya kutumia asubuh na cream yakutumia usiku wakati wa kulala yaani 2 in 1 ✨Ina collegen yakutosha ✨Inang’arisha unakua na rangi nzuri mnoo ✨Inasaidia ngozi kuto zeeka mapema ✨Inamatokeo mazuri sana kwenye skin glowing ✨ Inarekebisha ngozi iliyo haribika na vipodoz vikali 💰40,000/= 📍TUPO SINZA MADUKANI 📞 2557 59888288Likes : 904
0.9K Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Mambo mazuri sana @wolperstore Nikiwa hapa uwa Na Enjoy sana Na Family yangu Nipo Mikono salama @lora.realestate . . Namba za hotel @lora.realestate @lora.realestate @lora.realestate #0766485555Likes : 903
785 Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : WOLSHER ACNE SOAP Jamaani wale wenye vipele sugu basi hii sabuni ndo kiboko yake ✨ inaondoa kabisa vipele/chunusi sugu ✨inamchanganyiko wa glutathione ambayo husaidia kupunguza/kuondoa madoa meusi yatokanayo na chunusi ✨Ina SPF-50 ambayo hata ukiosha uso asubui huwezi haribika na mionzi ya jua kama ilivyo kwa sabuni zingine ✨inafanya unakua soft na kukupa karangi kakuteleza na kutakata ✨ inang’arisha haswaa ✨ inatumiwa na mtu wa ngozi aina yoyote ✨ingredients zingine ni tea tree oil na lavender oil ambazo ni muhim pia kuondoa chunusi usoni nakufanya ngozi ipendeze zaidi BEI: 20,000/= 📞0759888288 📍tupo sinza madukaniLikes : 785
779 Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Lipgloss elf5 kwa Elf10 Tupo sinza @wolperstore usikubali kuwa na lips nyeusi kama ujazaliwa Nazo dia njoo chukua kips za pink kwa elf10 Tuu ☎️0759888288Likes : 779
777 Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Msikerwe Na sauti za Mbuzi Me Nimfugaji mzuri saana Na Ma role modo wangu Ni wazazi wangu… . haya karibu sana chukua sabuni yako kwa elf5 Tuu Bei ya ki Tanzania NaNamba zetu Ni hizi hapa 0759888288Likes : 777
698 Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Mwezi unaokuja Mwanzoni kabisa nitawaletea Vitu vzuri saana Nakuandaa kwenye Akili yako wewe mteja wangu kwamba hapa utapendezesha Ngozi yako Na Kunukia kama jini Mtu Moto saana… . Nipo hapa karibu upate huduma 0759888288Likes : 698
660 Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Tupo hapa karibuni wote 0759888288Likes : 660
654 Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Geita Nipo hapo Nipo juu Juu Mambo Ni mazuri Na Mi moto saana Asante @usiri_transportation_ltdLikes : 654
652 Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Umeshawahi kukutana na Utapliasi unaotetelea kazi yake? 😂😂 Kama ulikosa @themakeovershow marudio ni leo saa 12:10 jioni ndani ya DSTV Maisha Magic Bongo Ch.160 Hili ni #kabumbulabrushnapowder #trending #viral #beautifulwoman #makeupartistry #fashionmodels Cc @dstvtanzania @maishamagicbongo Production house @tp_studiostzLikes : 652
616 Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Bado siku Moja upate unyunyu wako Mzuri wewe Mr&Mr’s pia Ni kitu kizuri kwa zawadi ya mtu yeyote yule karibuni saanaaLikes : 616
595 Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Habibi Mzigo soon utakua Tanzania Nakaribuni saanaa kunukia TuuLikes : 595
590 Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : simba wa Bahari Ni Mmoja Tuu @silent_ocean_ltd Wamefikisha mzigo wangu salama kabisa Tena kwa wakati Na wateja wangu wanaendelea Na huduma kama kawaida wale Mliokosa showergel Mzigo umewasili sasa hakuna Tena kupauka oyaaaa Mwanangu kameraman wa leo Tnx @alpharaj . Number Moja kabisa kwa wafanyabiashara wadogo,wakati Na wakubwa kwa kifupi Ni wakombozi wetu OG saaana @silent_ocean_ltd @silent_ocean_ltd 🔥🔥🔥🔥Likes : 590
546 Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : Usafiri ni mmoja tu usiri transport @usiri_transportation_ltd mzigo huu Unaenda kwa wakala wangu @ever_glowy 📞 255 656 460 245 namba yake ya simu hiyo hapo watu wangu wa Mwanza naomba mwende @ever_glowy mkachukue mambo MazuriLikes : 546
538 Likes – Jacqueline Wolper Instagram
Caption : kesho Mapema saana Manukato yapo Dukani God is Good Nawapenda wateja wangu Thank u so Much for support ❤️Likes : 538




































































































