Nilituliza saaaanaaaa kichwa wakati namchagua huyu Best Friend wangu @wolperstylish , Yaani nilituliza akili kama nachagua Mchumba😁🤣 nilimsikiliza kwa umakini Maana ya kila anachokisema kwangu, kila anachokifanya, akiwa na mimi namsikiliza je anaashiria nini, jinsi anavyo watreat wafanyakazi wake, wateja na hata akizungumza na mtu pembeni NILIMSOMA! Tukipiga picha kama kalipstick kangu kamekaa vibaya yeye kapendeza je atasema nini, saingine Namchokoza tu, “ Hivi Wolper unasemaje juu ya mtu fulani “ jibu lake huwa Chanya, Ana hekima, busara, Upendo MIA FIL MIA! 💯Am an overthinker and that as it is , it’s hard ! But huyu Mwamba, huyu Kiongozi, huyu mama bora, huyu mwalimu,huyu mpambanaji, huyu mwanamke WA SHOKA, huyu Rafiki wa damu yangu ANA UPENDO MKUBWA SANA KWANGU! Jana usiku saa 8 kanipigia kasema BFF SOMA ZABURI 35 Afu lala! Nyieeeee🥺🥺🥺🥹🥹🥹😭😭😭😭 Nikiwa nasafiri Ndege inatua saa 10 usiku, halali hadi niseme nimefika na niko salama chumbani kwangu ndo alale! MAOMBI tunayoomba, sisi ni wa juu Milele! METHALI 17:17 🙏🏽
splash Elf50 offer kawaida Ni elf70 ila Nauza 50 Now ya karibu Mteja call 0759888288 unyunyu pia upo wa kwanzia Elf50 kupanda juu Tunawapenda karibuni
Watu wa Arusha Mzigo ndio huo hapo sasa @kubrasadiki piga cm kuelekezwa Dukani chaap .. Watu wangu wa Arusha☎️ 255 62 019 4229 . . Mizigo yangu Natuma @usiri_transportation_ltd Hakika Mimi na wateja wangu tunayo imani kubwa sana na @usiri_transportation_ltd huduma za kuaminika, usalama, uharaka katika usafirishaji wa mizigo kutoka hapa Dar es salaam kwenda mikoa yote Tanzania.
Geita Nipo hapo Nipo juu Juu Mambo Ni mazuri Na Mi moto saana Asante @usiri_transportation_ltd
Tupo wazi karibuni saana wapendwa 0759888288
Madini Talks 2025 🔥 Yess! Umahiri wake kwenye tasnia ya maigizo, Umahiri wake kwenye ujasiriamali na biashara, umaarufu uliotukuka hii imetufanya tumualike na kutupa maarifa kupitia Umaarufu na Biashara. Yess Ms Jacqueline Wolper *ATAKUWEPO* Usipange kukosa! Date : 20/09/2025 Venue: Johari Rotana Hotel Time : 9 Am – 16 pm Ticket : Reg – 70,000/= VIP – 100,000/= VVIP – 150,000/= Namba ya Malipo Mpesa – 0763062806 Jina Shika Kalamu Project Kwa mawasiliano zaidi 0658722995 / 0786670178 Email – [email protected] #ShikaKalamu #MadiniTalks 🔥

Good Morning My pipoooo Tupo wazi karibuni saana karibu tuwahudumie Bei za kitanzania Njoo Natatizo lako lolote kasoro uhai Tuu ila hadi streees za Mapenzi dawa zipo😂 ☎️ 0759888288
Helllow My pipooo Tupo wazi karibuni sana 0759888288

Best friends forever ❤️🙏🏽 @nicolejoyberry @wolperstylish