Jacqueline Wolper

Jacqueline Wolper Instagram – Nilituliza saaaanaaaa kichwa wakati namchagua huyu Best Friend wangu @wolperstylish , Yaani nilituliza akili kama nachagua Mchumba😁🤣 nilimsikiliza kwa umakini Maana ya kila anachokisema kwangu, kila anachokifanya, akiwa na mimi namsikiliza je anaashiria nini, jinsi anavyo watreat wafanyakazi wake, wateja na hata akizungumza na mtu pembeni NILIMSOMA! Tukipiga picha kama kalipstick kangu kamekaa vibaya yeye kapendeza je atasema nini, saingine Namchokoza tu, “ Hivi Wolper unasemaje juu ya mtu fulani “ jibu lake huwa Chanya, Ana hekima, busara, Upendo MIA FIL MIA! 💯Am an overthinker and that as it is , it’s hard ! But huyu Mwamba, huyu Kiongozi, huyu mama bora, huyu mwalimu,huyu mpambanaji, huyu mwanamke WA SHOKA, huyu Rafiki wa damu yangu ANA UPENDO MKUBWA SANA KWANGU! Jana usiku saa 8 kanipigia kasema BFF SOMA ZABURI 35 Afu lala!
Nyieeeee🥺🥺🥺🥹🥹🥹😭😭😭😭
Nikiwa nasafiri Ndege inatua saa 10 usiku, halali hadi niseme nimefika na niko salama chumbani kwangu ndo alale! MAOMBI tunayoomba, sisi ni wa juu Milele!
METHALI 17:17 🙏🏽 | Posted on 18/Sep/2025 16:15:42

Jacqueline Wolper
Jacqueline Wolper

Check out the latest gallery of Jacqueline Wolper