If this incident had happened to you what would you say to defend yourself?😂 Team #DoubleXL @meena_ally @kenedytheremedy @johnjakson_tz @soudybrown 🎥 @neypaul01
Show Time 🔥 • Muda wa kuvuta chochote kinachoweza kuwa kampani kwenye good time yako! Muda wa kufurahia matunda ya Nyumba ya Vipaji ya Tanzania THT, muda wa kumu-enjoy @hamadaitz_ kwenye #XXLUnplugged 🙌🏾 •
Mtu unampa umbea wote bado hataki kukusamehe madeni ni nini kwani? Mxiu sijapenda @vodacomtanzania #miaka25navodacom #TupoNaweTenanaTena
Happy SabaSaba DAY!! Oya weeee, Banda la vodacom ni nomaaaaaa hapa SabaSaba,mujeeee🔥🔥🔥 Nikapata pia nafasi ya kukutana na Mkurugenzi mtendaji wa @vodacomtanzania Bw. Philip Besiimire 👊🏽 #Vodacomat25 #TupoNaweTenaNaTena 🔥🔥🔥
Niruhusu leo nikuelekeze faida za kufungua akaunti na @imbank_tz trust me hauhitaji kwenda mahali pengine!! #NiBureeeeeeKabisaaa