Meena Ally Instagram – Happy SabaSaba DAY!!
Oya weeee, Banda la vodacom ni nomaaaaaa hapa SabaSaba,mujeeee🔥🔥🔥
Nikapata pia nafasi ya kukutana na Mkurugenzi mtendaji wa @vodacomtanzania Bw. Philip Besiimire 👊🏽
#Vodacomat25 #TupoNaweTenaNaTena 🔥🔥🔥 | Posted on 07/Jul/2025 21:53:08


