Rose Ndauka Instagram – Bwana weeee nimekubali kwenye upande huu Mkwe wangu wewe ni nambari 1,unaakili nyingi sana Sijawahi kukosea kukupenda na ndio maana kila ninapoulizwa my best female Rapper huwa nakupa namba moja…
Mungu akuweke Mkwe wewe ni maana halisi ya kioo Cha jamii @rosa_ree haya wale wenzangu na Mimi Twendeni YouTube na Dictionary 😀😀😀.
Naendelea kupokea Oda za Tv,washing machine, fridge nicheck kwa Whatsapp number 255766181826 | Posted on 02/Aug/2025 23:06:28



