Counting my blessings,Thank you God for this gifts,Dada Mkubwa @princessnaveen I am very proud of you I like the way you are taking care of young Brothers….Mungu walinde watoto Hawa ,❤️❤️❤️ @officialprincehaleem @haffiyyjr
Mwambieni dadaenu maisha yangu sio ya chokochoko,na siishi kufurahisha waja naishi kwa mipango yangu na kumtanguliza Mungu…….. Mchawi wewe sikupi jibu ili ikusaidie wapi hujamaliza,tafuta mwenyewe wapi bado ila nipo nilikuwepo na nitakuwepoooooo kwa namna yoyote ILEEEEEE #USWAHILINAUNAFIKISIOMAMBOYANGU #PELEKAMADERASABASABAACHASHOBO
Ahsanteni sana ndugu zangu wa Ig mapenzi mengi sana kwenu💙💙,Mimi Niko poawa kabisaaaaa na kuhusu wale wanatakiwa kwenda kutuwakilisha huko nje wala tusiwe n wasiwasi tumeshawazoea hawachukui kombe lolote na hela zetu zitarudi 😀😀😀😀
Dunia inatisha sana ,kuna mtu una muamini kumbe ulikosea.. Kwenye haya maisha tuna hitaji sana Mwenyezi Mungu atusimamie kila saa kila wakati,kwenye Dunia hii yenye mambo mengi wewe changua machache…. #NamtafutaalitungamsemowaSiasamchezomchafu
Kijijini kwa Mama yangu ❤️❤️❤️❤️
Asante Mwenyezi Mungu kwa baraka hii,kidogo chetu na zimeridhika nafsi zetu @haffiyy @princessnaveen @officialprincehaleem @haffiyyjr ❤️❤️❤️❤️❤️ Hii inanitosha Mimi
Waliotufagilia wakauza mafagio,Tajiri hamjua masikini au tuseme hivi aliyeshiba hamjui mwenye njaa#2008
Kuna muda unajiuliza watu wanahitaji nini hupati jibu….Basi mngeukie Mungu na yeye atakupa majibu na kukuweka SAWA 🌍
My greatest treasure is my Family,We may not be perfect but i love them with all my heart ❤️ ❤️
One husb four wives ❤️❤️❤️❤️❤️ ila huyu kimbau ni mkorofi sana @iamrachelndauka mkuje huku babe wenu anawaita @ladiva_geee Mamaa Kichanga @neemadndauka #DadaUmmy’s40 endelea kupumzika kwa amani dada mkubwa Pic @magicstudio_tz
Bwana weeee nimekubali kwenye upande huu Mkwe wangu wewe ni nambari 1,unaakili nyingi sana Sijawahi kukosea kukupenda na ndio maana kila ninapoulizwa my best female Rapper huwa nakupa namba moja… Mungu akuweke Mkwe wewe ni maana halisi ya kioo Cha jamii @rosa_ree haya wale wenzangu na Mimi Twendeni YouTube na Dictionary 😀😀😀. Naendelea kupokea Oda za Tv,washing machine, fridge nicheck kwa Whatsapp number 255766181826
Najua unatolewa chambo ilo halinisumbui kabisaaa,niwawekee Sawa watanzania wanaonifatilia na kunipenda na kunisupport siku zote,Jamanii kwenye maisha yangu ya kila siku marafiki zangu wakubwa wanatoka kwenye familia yangu. Hao wengine hata kujuana vizuri sijuani nao hatuonani wala kuwasiliana kwa simu kwa Mwaka labda Mara moja,Sipajui anapokaa wala yeye hapajui kwangu kwa kifupi sio rafiki yangu Sema anapenda kuniweka mdomo kila wakati……Sijui hauzi mpaka anizungumzie nashangaa kwakweli.. Jumapili tulivu naamka asubuhi kwa furaha na amani na Mume na watoto wangu gafla unakutana na kidudu mtu kumbe usiku kaanguka na Ungo hasira zote analeta kwako Acha uchawiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwa kuongeza nishasema na nasema tena nafanya mziki sio sababu ninatafuta hela naenjoy ninachokifanya,kwa kifupi nitafanya mziki tena na tena …. Jumapili ni ya Famili sio kutafuta maneno na waja,Haya nipo busy sasa na familia yangu….. #SinaRafikiwaHovyokamahuyo
Habari za Jioni wapendwa wangu maboss zangu,haya kwa wale ambao walikuwa wanataka kutoa Oda ya Tv, washing machine, fridge karibu sana @ikuinvestment nicheck kwa Whatsapp 255766181826/ 255744451271
Mama yangu,rafiki yangu kipenzi nakupenda sana Mwanamke wa nguvu mwenye roho yako safi na upendo kwa kila mtu,umetufundisha kuishi na watu vizuri ila Dunia ya sasa sio ile ya zamani sasa hivi watu wana wanga mchana kweupeeeeee 🤣🤣🤣🤣🤣. Maombi yako ndio Kinga kwangu,usichoke kuniombea Mama yangu….Mungu akupe umri mrefu zaidi ❤️❤️❤️❤️
Happy birthday to you Kaka @haffiyyjr wewe ni zawadi kubwa kwenye maisha yetu Mimi na babaako tunajivunia uwepo wako. Tunashukuru Mwenyezi Mungu kwaajili yako,umekuja kuchangamsha nyumba yetu na kutufanya kuongeza umakini wa maisha ila sasa acha uchokozi na kung’ata wenzako.. Happy birthday Hafidhi Hafidhi Mkongwa mama anakupenda sana,Mimba yakol nilibeba kwa kufuraha sana na nilidekezwa sana na babaako na sasa tunafurahi uwepo wako,Mungu akulinde na Kila baya na tunakutaki maisha marefu yenye kuleta maana kwako na kwa sisi wazazi wako Nakupenda sana Pacha wa baba ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ @haffiyyjr
🌙📚 Raising Ummah Leaders Parents are happy and confident knowing their children are receiving both academic knowledge and Islamic guidance. Al-Irshaad school shapes the future of our children — both in this life and the hereafter. #DeenAndDunya #HappyParents #StrongUmmah #IslamicValues #BalancedEducation
Mungu tupe jicho la tatu tuweze kuona mbele,Maumivu ni makubwa na matumaini hakuna….
Black and white ❤️❤️❤️
Haya tunaendelea kupokea Oda za Tv, Fridge, washing machine… Nicheck kwa Whatsapp 255766181826
Haya vipenzi vyangu naendelea kukusanya Oda za Tv, fridge, washing machine…..Namba ya Oda 25576618826/ 255744451271 Follow @ikuinvestment
Je Wewe una Gari au Mashine n unasumbuliwa na Rejeta,entercooler au oilcooer…?Tuone @hrdradiatorcompany #rejetasafisafirisalama
Haya wapendwa wangu nimewaletea chimbo jipya kabisaaaa,hakilisha unapumzisha akili ili upate nguvu mpya @house.ofexile @house.ofexile
Karibu utunze na sisi Injini yetu @hrdradiatorcompany
🌾🇹🇿 Happy Nane Nane Day! Today we celebrate our hardworking farmers — the backbone of our nation’s food and prosperity. 🌱 Let’s honor their dedication, innovation, and the harvests that feed Tanzania. #NaneNaneDay #AgricultureTanzania #FarmersPride #TanzaniaCelebrates #8August