Rose Ndauka Instagram – Mwambieni dadaenu maisha yangu sio ya chokochoko,na siishi kufurahisha waja naishi kwa mipango yangu na kumtanguliza Mungu……..
Mchawi wewe sikupi jibu ili ikusaidie wapi hujamaliza,tafuta mwenyewe wapi bado ila nipo nilikuwepo na nitakuwepoooooo kwa namna yoyote ILEEEEEE
#USWAHILINAUNAFIKISIOMAMBOYANGU
#PELEKAMADERASABASABAACHASHOBO | Posted on 06/Jul/2025 13:02:44



