Rose Ndauka Instagram – Najua unatolewa chambo ilo halinisumbui kabisaaa,niwawekee Sawa watanzania wanaonifatilia na kunipenda na kunisupport siku zote,Jamanii kwenye maisha yangu ya kila siku marafiki zangu wakubwa wanatoka kwenye familia yangu.
Hao wengine hata kujuana vizuri sijuani nao hatuonani wala kuwasiliana kwa simu kwa Mwaka labda Mara moja,Sipajui anapokaa wala yeye hapajui kwangu kwa kifupi sio rafiki yangu Sema anapenda kuniweka mdomo kila wakati……Sijui hauzi mpaka anizungumzie nashangaa kwakweli..
Jumapili tulivu naamka asubuhi kwa furaha na amani na Mume na watoto wangu gafla unakutana na kidudu mtu kumbe usiku kaanguka na Ungo hasira zote analeta kwako Acha uchawiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa kuongeza nishasema na nasema tena nafanya mziki sio sababu ninatafuta hela naenjoy ninachokifanya,kwa kifupi nitafanya mziki tena na tena ….
Jumapili ni ya Famili sio kutafuta maneno na waja,Haya nipo busy sasa na familia yangu…..
#SinaRafikiwaHovyokamahuyo | Posted on 06/Jul/2025 15:53:51



