Rose Ndauka Instagram – Happy birthday to you Kaka @haffiyyjr wewe ni zawadi kubwa kwenye maisha yetu Mimi na babaako tunajivunia uwepo wako.
Tunashukuru Mwenyezi Mungu kwaajili yako,umekuja kuchangamsha nyumba yetu na kutufanya kuongeza umakini wa maisha ila sasa acha uchokozi na kung’ata wenzako..
Happy birthday Hafidhi Hafidhi Mkongwa mama anakupenda sana,Mimba yakol nilibeba kwa kufuraha sana na nilidekezwa sana na babaako na sasa tunafurahi uwepo wako,Mungu akulinde na Kila baya na tunakutaki maisha marefu yenye kuleta maana kwako na kwa sisi wazazi wako Nakupenda sana Pacha wa baba ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ @haffiyyjr | Posted on 27/Jul/2025 11:26:53



