Rose Ndauka Instagram – Mama yangu,rafiki yangu kipenzi nakupenda sana Mwanamke wa nguvu mwenye roho yako safi na upendo kwa kila mtu,umetufundisha kuishi na watu vizuri ila Dunia ya sasa sio ile ya zamani sasa hivi watu wana wanga mchana kweupeeeeee 🤣🤣🤣🤣🤣.
Maombi yako ndio Kinga kwangu,usichoke kuniombea Mama yangu….Mungu akupe umri mrefu zaidi ❤️❤️❤️❤️ | Posted on 07/Jul/2025 11:49:17



