Frida Amani Instagram – Tumekuja kivingine kabisaaaaaaaa.
Hii hauhitaji kuwa na bando kuweza kuaccess fedha kupitia simbanking, unahitaji kuwa na simbanking tu kwenye simu Yako. Alafu pia nakukumbusha ukitumia USSD yaani *150*03# nayo kuitumia ni Bureeee,hakuna fedha unayokatwa.
@crdbbankplc
Swahiba jione mtelezo huu. | Posted on 16/Sep/2025 19:42:42



