Frida Amani

Frida Amani Instagram – Nambie unataka kuku gani nishamaliza kukupenda
Kukutenda Wapi naenda Mi nataka Kuku nyeng *
Shida ya EX hakuwa mchoyo
Anangata Kucha Hata akitongozwa na kibogoyo

Tujifungie ndani we na mimi
Hupendi pipi Siwapi jibu Unanyonya nini
Ringa wanaokutaka picha chini
Wakisema una kiburi wambie kichwa anayekutia ni mimi

Kiuno Unakinyoga Kama zigi
Nakuita Winga unamwaga maji shamba La bibi
Mwanza Mbali ushanielewa
Hata Tutokee misungwii tutafika umechelewa

kwanini nakupenda mpka kero !!!
Tusifike mbaliii Nahapo hujanipa Kinyero
Nipo nae toka Enzi nakula fero
Nimemuua panya Buku kwa sumu Ya jero 😂

👑👑YOUNG KING✍🏿✍🏿 | Posted on 15/Sep/2025 19:47:02

Frida Amani
Frida Amani

Check out the latest gallery of Frida Amani