Wema Sepetu

Wema Sepetu Instagram – Sifa na Utukufu tunamuachia Mwenyezi Mungu…Ukifanya kazi na ikaonekana lazima ujiskie faraja sana…. Nashkuru sana na nimefurahi pia my Brother… Sitochoka kuutangaza Wema wa Mama… Kazi lendelee… cc @jumaa_aweso @samia_suluhu_hassan

Sio kwa maneno, Bali kwa Vitendo… Upendo wa mama, Nguvu kwa Jamii…

October Tunatick… ✅✅✅ | Posted on 20/Jun/2025 17:41:39

Wema Sepetu
Wema Sepetu

Check out the latest gallery of Wema Sepetu