Nimeshiriki harambee ya @uwt_zanzibar Ambapo mgeni rasmi wetu alikua Dada angu wa Heshima… @firstladyzanzibar❤️ Ambao kwa upendo wao Waliamua kumchangia @dr.hmwinyi Mgombea kiti cha urais zanzibar kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) kiasi cha kwenda kuchukua fomu… Nimejifunza upendo kwa wana Zanzibar, lakini pia nimejifunza mshikamano kwa wana Zanzibar Wana Zanzibar wamekubali na wameziba masikio… Hawapo tayari kuwasikiliza kina HAMNAZO Hawapo tayari kuwasikiliza kina SlowSlow Hawapo tayari kumsikiliza Dada angu aliekimbia NCHI na kuwa mwanaharakat 😂😂😂 WanaZnz wanataka maendeleo kupitia MWINYI, WanaZnz wanatambua nchi ya ahadi tutafikishwa Na Dr @dr.hmwinyi… Tupo tayari kutiki October kwa mwinyi… ✅✅✅✅ #mwinyi2025_2030 #zanzibar #uchumiwabuluu Cc @comrade_kawaida @ccm_zanzibar @uwt_zanzibar @uvccm_zanzibar @firstladyzanzibar @ikulu_habari @toufiqsturky @rockmwakibinga @gb_buku @bonita_saloon @petitman_wakuache
Tumezindua Campaign za Uchaguzi jana Rasmi jamani… Kazi haswa sasa ndo inaanza…. All the Best kwa Chama changu…. Kijani Inang’aa bwana…. Oktoba Tunatiki…✅✅✅ @wema_wa_mama @petitman_wakuache
Hongera sana Rais wa Zanzibar yetu nzuri Dr Hussein Mwinyi kwa kuchukua form yako leo…. Kazi ushamaliza Baba…. Zanzibar ya leo sio kama Zanzibar ya miaka 5 iliopita… Wema wako unaonekana kwa maneno sio kwa vitendo…Oktoba tunatiki✅✅✅ Tupo pamoja mpaka kieleweke… Always feels good to be home…. @dr.hmwinyi @wema_wa_mama @gladness_kifaluka @petitman_wakuache @gb_buku @big_xhexhe @bonita_saloon @mjomba_ni_mamaa
My Guardian Angel… The most loving person in the whole world… I thank God for you everyday… May the good Lord protect & bless you abundantly… Uache utundu mwingi… Happy Birthday to you kipenzi… ❤️ Nakupenda mimi… @doreen_kaneza @doreen_kaneza

Can we Sleep Now…? 😜😜😜 Kesho pia ni Siku… Happy Soul… October Tunatick…✅✅✅

Uzinduzi wa Mradi wa Maji Butimba, Mwanza… cc @wema_wa_mama @petitman_wakuache @stanslaus_mabula @abdallahulega
Mgombea Tunae, Hakuna anaebisha…. Au kuna wenye tatizo huko jamani…. ✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅ Tiki kwa Mama 💚💚💚💚
Happening Now…. Uwekaji wa Jiwe la Msingi, Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya TabiaNchi Simiyu… cc @jumaa_aweso @wizarayamajitz @wema_wa_mama @petitman_wakuache Tunafanyaje???? Tunatick…. October Tunatick…✅✅✅
TUWASKILIZE WANANCHI WENYEWE WANASEMAJE….?? Maana nikisema mimi inaleta ukakasi… Naombeni nipumzike kidogo… Kesho nayo ni Siku… @wema_wa_mama @petitman_wakuache @abdallahulega
Nadhani Nyimbo inajielezea…💚💚💚 Tiki Kwa Mama ifikapo Oktoba…!!!! ✅✅✅
Sifa na Utukufu tunamuachia Mwenyezi Mungu…Ukifanya kazi na ikaonekana lazima ujiskie faraja sana…. Nashkuru sana na nimefurahi pia my Brother… Sitochoka kuutangaza Wema wa Mama… Kazi lendelee… cc @jumaa_aweso @samia_suluhu_hassan Sio kwa maneno, Bali kwa Vitendo… Upendo wa mama, Nguvu kwa Jamii… October Tunatick… ✅✅✅
Maji Ni Mwa!!Mwa!!Mwa!! Sisi maneno maneno hatutaki jamani… Tunaonesha kwa Vitendo…. Sio ndoo tu iliotuliwa kichwani, yametuliwa matatizo mengi sana… Maji ni Uhai… Na Mama kahakikisha kwenye hili asicheze nalo kabisa… Asante sana Mama… 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Lakini pia nikupe Pongezi Waziri wa Maji, Mh @jumaa_aweso , Umeupiga mwingi sana kaka angu… Nikupe maua yako kwa hili… Kazi na UTU, Tunasonga mbele… @wizarayamajitz @wema_wa_mama @petitman_wakuache @big_xhexhe
Tumemaliza na Daraja la JP Magufuli, Mwanza Busisi… 3.2KM Bridge aiseee…. Daraja Kubwa East Africa…. Linaloenda kuwa Fursa kwa Wanawake, Vijana na Wafanya Biashara… Asante Mama kwa Wema Wako….!!! Hatuna cha kukulipa…!!! Tunafanyaje…??? ✅✅✅ @wema_wa_mama @petitman_wakuache @said_mtanda
When she smiles, my world is so bright…🥰🥰🥰
Wakati tuaelekea Oktoba kutiki kwa Mama tukumbuke kuna Kaka ake Mama ambaye ni Mjomba yupo huku nipaitapo nyumbani Zanzibar… Mjomba ni Mama pia…. Hodi Hodi Nyumbani… Here for Dr Mwinyi kuhakikisha hatufanyi makosa Oktoba… Ni Tunatiki✅ Tunatiki✅ Tunatiki✅… Kura zote za ndio kwa Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi… @dr.hmwinyi @ikulu_habari Kazi umeifanya Mheshimiwa Rais Dr Hussein Mwinyi…. Zanzibar ya Leo Ni Tamu sana… Hongera sana… Umeweza Baba…. @dr.hmwinyi CC:@wema_wa_mama @rockmwakibinga @petitman_wakuache @gb_buku @big_xhexhe @bonita_saloon ✅✅ #octobertunatiki✅️ #mwinyi2025_2030 #zanzibar #chamachamapinduzi
Tutakulinda na kukupigania Kwa wivu mkubwa Tupo tayari kutiki october✅ #tukutanekawe #chamachamapinduzi #samiamitanotena #nchimbikazini #tunazimazotetunawashakijani🔰
JAMBO LIMEKUA JAMBO Tukutane kawe #tunaenda kuionesha Dunia Ukubwa wetu Tunaenda kusimamisha Tanzania na viunga vyake ✅ #samiasuluhu #october#tunatiki✅️ #samiatunaenatunatambanae# #wemawama #upendowamama #nguvuyajamii