Wema Sepetu

Wema Sepetu Instagram – Nimeshiriki harambee ya @uwt_zanzibar
Ambapo mgeni rasmi wetu alikua
Dada angu wa Heshima…
@firstladyzanzibar❤️
Ambao kwa upendo wao
Waliamua kumchangia @dr.hmwinyi
Mgombea kiti cha urais zanzibar kupitia
Chama cha mapinduzi (CCM)
kiasi cha kwenda kuchukua fomu…
Nimejifunza upendo kwa wana Zanzibar, lakini pia nimejifunza mshikamano kwa wana Zanzibar
Wana Zanzibar wamekubali na wameziba masikio…
Hawapo tayari kuwasikiliza kina HAMNAZO
Hawapo tayari kuwasikiliza kina SlowSlow
Hawapo tayari kumsikiliza Dada angu aliekimbia
NCHI na kuwa mwanaharakat 😂😂😂
WanaZnz wanataka maendeleo kupitia MWINYI,
WanaZnz wanatambua nchi ya ahadi tutafikishwa
Na Dr @dr.hmwinyi…

Tupo tayari kutiki October kwa mwinyi… ✅✅✅✅

#mwinyi2025_2030 #zanzibar #uchumiwabuluu
Cc @comrade_kawaida @ccm_zanzibar
@uwt_zanzibar @uvccm_zanzibar
@firstladyzanzibar @ikulu_habari
@toufiqsturky @rockmwakibinga
@gb_buku @bonita_saloon @petitman_wakuache | Posted on 30/Aug/2025 03:14:19

Wema Sepetu
Wema Sepetu

Check out the latest gallery of Wema Sepetu