Wema Sepetu Instagram – Wakati tuaelekea Oktoba kutiki kwa Mama tukumbuke kuna Kaka ake Mama ambaye ni Mjomba yupo huku nipaitapo nyumbani Zanzibar… Mjomba ni Mama pia…. Hodi Hodi Nyumbani… Here for Dr Mwinyi kuhakikisha hatufanyi makosa Oktoba… Ni Tunatiki✅ Tunatiki✅ Tunatiki✅… Kura zote za ndio kwa Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi…
@dr.hmwinyi @ikulu_habari
Kazi umeifanya Mheshimiwa Rais Dr Hussein Mwinyi…. Zanzibar ya Leo Ni Tamu sana… Hongera sana… Umeweza Baba…. @dr.hmwinyi
CC:@wema_wa_mama @rockmwakibinga @petitman_wakuache @gb_buku @big_xhexhe @bonita_saloon ✅✅
#octobertunatiki✅️ #mwinyi2025_2030
#zanzibar #chamachamapinduzi | Posted on 29/Aug/2025 20:35:34
Check out the latest gallery of Wema Sepetu



