Wema Sepetu Instagram – Maji Ni Mwa!!Mwa!!Mwa!! Sisi maneno maneno hatutaki jamani… Tunaonesha kwa Vitendo…. Sio ndoo tu iliotuliwa kichwani, yametuliwa matatizo mengi sana… Maji ni Uhai… Na Mama kahakikisha kwenye hili asicheze nalo kabisa… Asante sana Mama… 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Lakini pia nikupe Pongezi Waziri wa Maji, Mh @jumaa_aweso , Umeupiga mwingi sana kaka angu… Nikupe maua yako kwa hili…
Kazi na UTU, Tunasonga mbele…
@wizarayamajitz @wema_wa_mama @petitman_wakuache @big_xhexhe | Posted on 20/Jun/2025 13:30:43



